Monalisa: Natamani kuolewa

Monalisa: Natamani kuolewa

Nasikia mama ubaya alikuwa anamtesa ndomo, kuna siku aliitwa dodoma na mheshimiwa kupigwa ududu, ndomo akawa anampigia simu mama ubaya hapokei, nasikia ndomo hapumui wala hanyi kwa mama ubaya, hili li ndomo limezidi uzezeta na utahira, hata kama unatafuta kick si kihivyo cc: Mrembo by Nature, Dinazarde
 
Last edited by a moderator:

tigo ndo inamdatisha
 
Mmmhhhhhh si kweliii
 
Last edited by a moderator:
Mmmhhhhhh si kweliii

Shoga leo unampinga bina wako? Hahahahaha soooon tutalambishwa ndimu hawa watu wameamua kutuchezea akili kama watoto vile..."eti hatujui walikotoka tutajuaje wanakokwenda?" Ndo post za leo hukooooo warumi mimi mpambe nuksi wa wema wewe, Dinazarde mpambe nuksi wa domo na zari ze komwe lady mama ya drama tuandae ndimu tu muda si mrefu yatatushuka tiiiiii
 
Last edited by a moderator:
Nasikia mama ubaya alikuwa anamtesa ndomo, kuna siku aliitwa dodoma na mheshimiwa kupigwa ududu, ndomo akawa anampigia simu mama ubaya hapokei, nasikia ndomo hapumui wala hanyi kwa mama ubaya, hili li ndomo limezidi uzezeta na utahira, hata kama unatafuta kick si kihivyo cc: Mrembo by Nature, Dinazarde

Ndo hivo domo hana sauti pale hata Esma Dada wa domo analijua hilo na alishatuonya huko IG
 
Last edited by a moderator:
Binamu wala usimfananishe zari na wema, wema hampatu yule demu kwa lolote, zari hategemei wanaume kama shoga yako, anajielewa na pia ni kisu, zari ana guu la bia halafu mkalu, mama ubaya mpaka akafanyiwe operation , ngozi imekuwa kama nguruwe

Hahahaaaa unaniachaga hoi ukitoa mfano wa nguruwe hatariiii
 
Shoga leo unampinga bina wako? Hahahahaha soooon tutalambishwa ndimu hawa watu wameamua kutuchezea akili kama watoto vile..."eti hatujui walikotoka tutajuaje wanakokwenda?" Ndo post za leo hukooooo warumi mimi mpambe nuksi wa wema wewe, Dinazarde mpambe nuksi wa domo na zari ze komwe lady mama ya drama tuandae ndimu tu muda si mrefu yatatushuka tiiiiii

Hhhhhhhaaaaa jamani hata wema ana bonge la komwe hegeeeeeeee
 
Last edited by a moderator:
Kuna wimbo mmoja wa dini wanaimbaga ivi " huyo ni chaguo lako, hata kama ni kiwete au kiziwa, ata kama msukuma mkokoteni, ulimpenda mwenyewe na kukubali kuolewa nae" yani unanifuraishaga sana , sasa kama sio chaguo lake kwa nn aliolewa nao na kuzaa watoto kama sio umalaya? Wanaume wawil?

Hahaaa leo mara ya pili nakuona na huu wimbo...inaonekana unaupenda kwelikweli
 
AAAaah aah unachekesha sana ule wimbo, eti ata kama ni kiwete huyo ndo chaguo lako
 
Honey Faith popote ulipo puliz nitafute maana kuna sehemu naona umenitag kuna ubuyu wa haja sema uzi sijui umefutwa
 
Last edited by a moderator:
Honey Faith popote ulipo puliz nitafute maana kuna sehemu naona umenitag kuna ubuyu wa haja sema uzi sijui umefutwa

Sasa uzi umefutwa unataka ujue ninii?? Umbea tu, mi mwenyewe hua wananiudhiiii mfyuuuuu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom