Monalisa ni mfano wa mzazi mbaya

Baba yake yupo wapi amsaidie mwanaye, haya ndio Matatizo ya Fatherlessness, hawa Bongo movie wanajikutaga Fatherhood is toxic until war starts in Ukraine.
 
Afadhali hujataja Russia
na China umezingatia hadhi ya Moscow university
 
Mkuu angetoboa kweli? Maana vyuo vya bongo havina marks za attendence 2/10
 
Mkuu angetoboa kweli? Maana vyuo vya bongo havina marks za attendence 2/10

Peleleza kama kuna mtu aliyepata point 5 kushuka chini combinations ya ECA ambaye ana gpa less than 3.8 kwenye degree ya accounts udsm ama mzumbe.

Utapata jibu la hoja yangu. Accounts ya chuo ni ile ile accounts ya A level. Masomo mapya tu ndiyo yatamsumbua kama business law, ama principle of management etc. Ila yapo machache sana. Ndio maana wengi wanafikisha gpa za juu
 
Baba yake yupo wapi amsaidie mwanaye, haya ndio Matatizo ya Fatherlessness, hawa Bongo movie wanajikutaga Fatherhood is toxic until war starts in Ukraine.
We nae unaishi dunia ya wapi wewe mpk usijue kwamba Ng'wizikulu jilala alishafariki? Au ulikuwa kijana mdogo enzi hizo.
 
We nae unaishi dunia ya wapi wewe mpk usijue kwamba Ng'wizikulu jilala alishafariki? Au ulikuwa kijana mdogo enzi hizo.
Ndio maana nikauliza baba yake yupo wapi, BTW mimi na Bongo celebrities wapi na wapi!
 
Baba yake sonia alikua anaitwa Tyson ni mjaluo wa kenya alifariki kwa ajali ya gari sio huyo mganga
We nae unaishi dunia ya wapi wewe mpk usijue kwamba Ng'wizikulu jilala alishafariki? Au ulikuwa kijana mdogo enzi hizo.
 
We nae unaishi dunia ya wapi wewe mpk usijue kwamba Ng'wizikulu jilala alishafariki? Au ulikuwa kijana mdogo enzi hizo.
Ngw'izukulu Jilala amefariki pia alizaa na Nora msanii wa zamani wa bongo movie kaka monalisa alizaa na George Tyson Otieno amefariki

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Wote nyie wapumbavu bongo kuna vyuo au kuna vyoo tu..Monalisa yuko sahihi kumpeleka mwanae Ulaya mashariki unaposema Ulaya mashariki ni masikini sawa lakini si masikini kwa kiwango cha lami kama hapa bongo.Na elimu yao iko juu na ya kiwango cha kimataifa acheni kuwaza kwa kutumia makalio yenu tumieini vichwa na bongo zenu ingieni chimbo mfanye tafiti na kutafuta habari sahihi za ulaya mashariki kwa viwango vyao vya elimu.Ni mjinga peke yake ndio ataona Bongo kuna vyuo Bora kuzini ulaya ya mashariki.Hapa bongo kuna vyoo sio Vyuo.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Monalisa hatakiwi kutulalamikia wanzengo maana tumempamba mwanae kwa miaka tele tangu mwanae apate A za kutosha O level mpaka A level na kumsakama paula staki shule ila kajala hakuwahi kutusimangia vyuo vyetu
Mkataa kwao!
 
Kwani huyo monalisa ni nani huko dar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…