Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Labda ameanza hivi karibuniSky Eclat labda kwa sasa anapiga kinywaji.
Lakini kwenye hiyo interview akiwa Kenya aliapa kabisa hajawahi kunywa kilevi wala kutumia midaharati.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda ameanza hivi karibuniSky Eclat labda kwa sasa anapiga kinywaji.
Lakini kwenye hiyo interview akiwa Kenya aliapa kabisa hajawahi kunywa kilevi wala kutumia midaharati.
Inawezekana mama. Nimeitafuta hiyo clip nimeikosa.Labda ameanza hivi karibuni
watu hawaamini hii wanabisha, LAKINI HUO NDO UKWELI!Kiufupi jamaa ana hali mbaya tunaomjua tunamsikitikia hayupo sawa, mlevi,haendi studio nguvu kubwa ya ushirikina na stress vinamtesa
ANAKUNYWA kaka!Inawezekana mama. Nimeitafuta hiyo clip nimeikosa.
Pole zake nyingiwatu hawaamini hii wanabisha, LAKINI HUO NDO UKWELI!
HE IS NOT HIMSELF!
naseeb is loosing it!ha ha ha mtu keshachanganyikiwa tayari, malipo ni hapa hapa duniani..Hakuna kitu kibaya kama mwanamke mwaminifu akikuacha kwa sababu tu ya uhuni wako.
Aisee.ANAKUNYWA kaka!
sana tu !yani ile sana tu!
ana anguko ambalo upande mmoja analiona upande mwingine hawezi kufanya chochote!Pole zake nyingi
JF WALIWAZA MBALI WALIPOWEKA ANONYMOUS IDs!WaBongo wa shaanza hukumu,mpaka wengine kukoment kabisa anguko lake habari ambayo sio confirmed na habari nyingi za kimbeya ,hazinaga source specific,source zake ni:
1.CHANZO CHA UHAKIKA au
2.CHANZO CHA MTU WA KARIBU
Life has ups and downs, when you are down it’s time to reflect on what went wrong. He needs our prayers that he won’t stay down for longana anguko ambalo upande mmoja analiona upande mwingine hawezi kufanya chochote!
its like unazama na unaona kabisa unazama yet hakuna kitu unaweza fanya!
WASAFI TV NI KAMA HAIPO!
IMEISHA KABLA HAIJAANZA!,analiona
WIMBO KAMA KWANGARU ULIVO MZURI USINGETEGEMEA HUU MWITIKIO!,analiona!
ZARI KUMUONYESHA AMEMOVE ON(though naye nina mashaka lakini wel we unajua wanaume WASIVOTAMANI KUONA EX WAO WAKIWA SAWA BAADA YA BREAKUPS),analiona
MEDIA NI KAMA ZINAMPOTEZA HIVI,analiona
MIKATABA NI KAMA INAPOTEA AU KAMA HAIPO(BELLAIRE usifkr walichukulia poa brand yao kuhusishwa na video za kifala only to kumkomoa mtu,)analiona
mamake hayuko sawa nae,NA UNAJUA HUYU DOGO NA HUYU MAMA WALIKOTOKA NA AINA YA MAISHA YAO(kiukweli mkamawana na mama wanapokosana anayeumia ni mwanaume,huku kuna mamake huku kuna mkewe.HAMISA HANA CHA KUPOTEZA!SHE JUST WANT TO PROVE ALL THEM WRONG KUWA NASEEB HAMPENDI!SASA KWENYE HILO NAONA KABISA ALIVYO RADHI KUFANYA CHOCHOTE ILI WOTE TUFELI NA YY AWE MSHINDI!
NA TUMEFELI KIMSINGI! ILA MASKIN TUNAFELI NA TUNAFELI NA NASEEB AKIWA AMEBAKI A BOY FROM TANDALE KIKWELI!
SO HAKUNA MWANADAMU ALIYEZOEA FAME ANAPITA HAPO SALAMA!
hamisa alifaaa kuwa mwanamke wa kumpa mauno tu kitandani kama alivokwisha mbrand(EVERYONE HAS MAHALI PAKE KUNAMKUNA )
kumfanya MAIN CHICK AMEBUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUGI!
Mpaka ki Ben 10 cha mama kinalelewaNdo tatizo la kulea kila mtu kwenye familia. familia inapaswa iwe ni baba, mama, mtoto/watoto na msaidizi wa ndani, na labda mlinzi wa geti...full stop...huu ushuzi wa kukaa na mashemeji, sio mama mkwe, sijui bibi...ni kujitakia presha.
yaah!Life has ups and downs, when you are down it’s time to reflect what went wrong. He needs our prayers that he won’t stay down for long
Kwakweli amejitahidi kufika alipo kutokea alikotoka.yaah!
INAUMIZA KIMSINGI!
alikuwa na hustle zake very inspiring!
LAKIN WELL
pengine ATANYANYUKA TENA!
pengine HAJAANGUKA KABISA!
YOTE KHERI LAKIN!
Kama alisema hivyo kadanganya. Diamond tena anaonekana siku hizi anaziweza vizuri pombe. Before Pombe zilikua zinamshinda nguvu.iron finger. Diamond alihojiwa Kenya kwenye TV akasema hajawahi kugusa pombe tangu azaliwe.
Kwa hiyo ww unaweza amin habari kisa source yake ni ANONYMOUS ID ? habari ambayo haina specific source.Mfano humu jamii forum ID zetu wote ni fake lkn mtu akileta habari,hataka asipoweka evidence lkn hata mtiririko wake na vyanzo vake ni TANGIBLE,sasa wewe habari zote za kimbeya vyanzo vyake havipo specific,utasikia CHANZO CHA MTU ALIYE KARIBU au CHANZO CHA UHAKIKA.Ujue sometimes unaweza ukakuta unaleta mfarakano au hata kuua mtu kisa habari yako ni chanzo cha karibu,chanzo cha uhakika au from ANONYMOUS ID.Habari from ANONYMOUS ID huwaga naiona ya ukweli endapo utanipa TANGIBLE EVIDENCE vinginevyo ni uzushi.JF WALIWAZA MBALI WALIPOWEKA ANONYMOUS IDs!
Watajuana bwana, hio ndo gharama, let them face itMpaka ki Ben 10 cha mama kinalelewa
Nimekupata Mrs VanKama alisema hivyo kadanganya. Diamond tena anaonekana siku hizi anaziweza vizuri pombe. Before Pombe zilikua zinamshinda nguvu.