Tetesi: Mond atimka Madale,chanzo Hamisa

Anauaminifu gani!? Hivi unajua D kwa nini kamuacha Zari? Bibie alicheat hakujua Kama mondi ataipata hiyo habari Zari alicheat na Daudi Kanyau kwa wanaomjua wanajua shughuli yake hapa bongo ilikuwa nini. Sikuhizi kanyau kahamia SA anahela mbaya na bibie ndio zake kama unakisu kikali unakula nyama akajiachia bila kujua kanyau ni mswazi wa migomigo akavujisha siri hiyo kitu imemuuma sana mondi na pengine anayoyafanya sasa Anafanya ili kumuumiza zari, hata watoto hana time nao. Pia ile nyumba ya SA ni ya kinje mondi alimpangia Zari sasa sijui ataendelea kulipa kodi au la maana wanafanya Siri Kuwa ni yake lakini ukweli si yake.

Hahahhahah hatareeee
 
Hater kazini. ZARI NDIO ALIYEMUACHA DAI NOT VICE VERSA POLENI

Enzi za JK kila kitu kilikua cha rithiwan,saiv kila kitu ni cha kinje bwahahahaah nyumba inawauma sana. Watoto hana time nao ila kutwa kujichekesha na kujikomentisha kila picha ya watoto iwekwapo poleee zari ndo keshazaa na dai hivyo pasukeni sasa

My dear hakuna anayeumia kwa maendeleo ya mtu ukweli ndio huo Kama mlivyozugwa kwenye mjengo WA wasafi TV na bi mkubwa alisema kigoma hatoki boy sasa akili kichwani mwako. Zari baada ya kuona kapigwa chini ndio akatangaza rasmi na ua jeusi hapo ni baada ya kisa mkasa. Sasa Kama unabwana hana time nawe simu hapigi mawasiliano kakata ghafla hapo nani kamuacha mwenzie? Au ulitaka D atangaze Kama Zari? Hivi nikuulize Kama baba kulike picha na vikatuni vya kujichekesha ndio kuwa na mawasiliano na watoto? Mbona bibie alijiliza snap chat kuwa haudumii watoto!?
 
Cheki toto ishaanza shule bila hata child support,chezea zari weuwee
30945201_439099563181032_4018221361750081536_n.jpg

My dear hakuna anayeumia kwa maendeleo ya mtu ukweli ndio huo Kama mlivyozugwa kwenye mjengo WA wasafi TV na bi mkubwa alisema kigoma hatoki boy sasa akili kichwani mwako. Zari baada ya kuona kapigwa chini ndio akatangaza rasmi na ua jeusi hapo ni baada ya kisa mkasa. Sasa Kama unabwana hana time nawe simu hapigi mawasiliano kakata ghafla hapo nani kamuacha mwenzie? Au ulitaka D atangaze Kama Zari?
Hivi hiyo kigoma hatoki boy si ndo huyo huyo analalamika saiv mwanae kudondokea kwa tununu hahaha aiseee haters bana. Hata madale mlisema ya kinje ila saiv naongea story nyingine. Ile nyumba bana ni ya zari mtake msitake keshaipata hivyo.
 
Screenshot_2018-05-03-04-02-31-085_com.cmcm.armorfly.png
Hivi hii picha imefikaje jana kwenye account ya kaka yangu?
 
Cheki toto ishaanza shule bila hata child support,chezea zari weuweeView attachment 764301

Hivi hiyo kigoma hatoki boy si ndo huyo huyo analalamika saiv mwanae kudondokea kwa tununu hahaha aiseee haters bana. Hata madale mlisema ya kinje ila saiv naongea story nyingine. Ile nyumba bana ni ya zari mtake msitake keshaipata hivyo.

Aliyesema madale ya kinje Nani? Naona ubishi ni jadi yako haya mama nimekuachia uwanja.
 
My dear hakuna anayeumia kwa maendeleo ya mtu ukweli ndio huo Kama mlivyozugwa kwenye mjengo WA wasafi TV na bi mkubwa alisema kigoma hatoki boy sasa akili kichwani mwako. Zari baada ya kuona kapigwa chini ndio akatangaza rasmi na ua jeusi hapo ni baada ya kisa mkasa. Sasa Kama unabwana hana time nawe simu hapigi mawasiliano kakata ghafla hapo nani kamuacha mwenzie? Au ulitaka D atangaze Kama Zari? Hivi nikuulize Kama baba kulike picha na vikatuni vya kujichekesha ndio kuwa na mawasiliano na watoto? Mbona bibie alijiliza snap chat kuwa haudumii watoto!?
Mbona huyo unayesema kaacha anazidi kuzeeka kwa stress. Ingekua kweli kama usemavyo diamond angekaa kimya?? Diamond huyu huyu mpenda sifa auchune kabisa. Hamna hiyo jaribu kingine
 
Nyumba sio ya Kinje, ni ya Le Mutuz. Na yeye sasa ndio anakula mzigo, ndio maana kila weekend anakodi private jet kwenda Johannesburg. Hizi story msimwambie Diamond anaweza kujirusha kutoka juu ya ghorofa. Kumbe hata wale watoto sio wake ni wa Le Mutuz. Na nyuma ya hii situation yote yupo Joseph Kusaga.
Kama mnabisha muulizeni Mangi Kimambe.
 
Kama alisema hivyo kadanganya. Diamond tena anaonekana siku hizi anaziweza vizuri pombe. Before Pombe zilikua zinamshinda nguvu.
Kabisa siku hizi kawa mnywaji haswa. Zamani alikuwa hanywi
 
My dear hakuna anayeumia kwa maendeleo ya mtu ukweli ndio huo Kama mlivyozugwa kwenye mjengo WA wasafi TV na bi mkubwa alisema kigoma hatoki boy sasa akili kichwani mwako. Zari baada ya kuona kapigwa chini ndio akatangaza rasmi na ua jeusi hapo ni baada ya kisa mkasa. Sasa Kama unabwana hana time nawe simu hapigi mawasiliano kakata ghafla hapo nani kamuacha mwenzie? Au ulitaka D atangaze Kama Zari? Hivi nikuulize Kama baba kulike picha na vikatuni vya kujichekesha ndio kuwa na mawasiliano na watoto? Mbona bibie alijiliza snap chat kuwa haudumii watoto!?
Hakulalamika kuwa hahudumii watoto. Alilalamika haendi kuona watoto. Bila huduma yake zari ata survive .kuachana kwao hakupenda watoto nao wahusishwe. Ni watoto wake. Hata enzi za ivan hawakuwa maadui. Alimuachia watoto awaone muda wowote. Maybe diamond bado ana hasira zake .maana watu wengine wapo tofauti. Akiwa tayari watapanga wenyewe
 
Hivi ndivyo viwanda vya Chadema ; vile vya Magufuli hawavioni kabisa..
 
Anauaminifu gani!? Hivi unajua D kwa nini kamuacha Zari? Bibie alicheat hakujua Kama mondi ataipata hiyo habari Zari alicheat na Daudi Kanyau kwa wanaomjua wanajua shughuli yake hapa bongo ilikuwa nini. Sikuhizi kanyau kahamia SA anahela mbaya na bibie ndio zake kama unakisu kikali unakula nyama akajiachia bila kujua kanyau ni mswazi wa migomigo akavujisha siri hiyo kitu imemuuma sana mondi na pengine anayoyafanya sasa Anafanya ili kumuumiza zari, hata watoto hana time nao. Pia ile nyumba ya SA ni ya kinje mondi alimpangia Zari sasa sijui ataendelea kulipa kodi au la maana wanafanya Siri Kuwa ni yake lakini ukweli si yake.
Zari acheat na Daudi kanyau,alafu Kinje amlipie Zari kodi ya nyumba ,we unazani Kinje fala (Kinje ninae mjua mm hawezi kufanya ujinga huo).Kugonga agonge mwengine we ulipe kodi,hamna muunganiko na hamna mwanaume atakeyefanya ujinga kama huo.Yaani ndugu yangu kama hujui kitu unaweza nyamaza ,kunyamaza si ujinga kuliko kumshuhudia mwenzako uongo.Mnasingizia Diamond wa watu kila kitu kwake negative,hivi unajua ile WASAFI.com inayouza miziki online gharama yake ni zaidi ya hiyo nyumba ya SA (Waulize maprogrammer wazee wa IT ndio utaelewa) sasa nakushangaa wewe unayesema nyumba ya SA si yake,wakati kanunua system ile na yy anaimenage.Kama hujui kitu nyamaza hupungukiwi kitu ndugu yangu.
 
Mondi saa hizi yupo england ameenda kufanya show na nyinyi mnaendelea kumjadili!!!Mond sio mtu wa kushushwa kirahisi rahisi
 
Hili jukwaa linaonyesha jinsi gani watanzania tulivyo. Khaa!
 
Back
Top Bottom