Mweee kwani jana kulitokea nini [emoji15][emoji15][emoji15]Ndo nimejua jana lakini. Mi nashangaa hata sipewagi hizo nafasi za kujazwa ujinga. Maana nilivyo mdadisi ntakuuliza maswali hadi utaghairi kunishirikisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeonaeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Cheko la kikubwa
Asante sana mbebez wake mtu tena nilikuwa sina hata mpango wa kucharge kuna ndg yangu mmoja ndio kanisumbua eti amka ukacharge simu huko kokote kwenye umemeHahaha
Pole sana jamani dada ake mtuu!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu wakatafuta picha mbaya ahahaa wangeniambia tu niwape picha kamili
Pole sana jamani!!Huwezi amini mungu shahidi sijawai kumkosea chochote. Hata ukimuuliza.
Aiseee
Shkamoo kakake shunie
Shikamoo Dada akee shunie namtafuta mtekaji aliyenitekea kaka angu amwachie kidogo na jf nimuone mm[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji41]
Ila wanaume wa jf wengine wastaarabu sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu weweNakuombea uendelee kuwa hivi hivi.
Umeongea point kubwa sana
Doh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilishasamehe ila mimi muhuni ukinikosea lazima nilipize sema siku hizi nimekua sana .unajua nini nilifungua id ya kiume jf nikajifanya natafuta mchumba weee nina picha za kutosha ***** nawacheki tu .ole wao mtu aingie kwenye tisini
Yaani wala sina shida nao.niliwakabidhi wenye nchi yao hata sijui ilikuwajePole sana jamani!!
Ni kumpuuza tuu my dear!
Ya moyoni yanatoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu wewe
Kwa mara ya kwanza nilikushusha sana
Uzuri unajijua mwenyewe!!Halafu wakatafuta picha mbaya ahahaa wangeniambia tu niwape picha kamili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Subiri nikununie na mmHahaha
Nafikiri halijakukuta wewe!! Mtu anakununia with no reason sababu tuu fulani hakupendi!!
Huwa nawadharau tuu napita ka meona kivuli!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mmnilishasamehe ila mimi muhuni ukinikosea lazima nilipize sema siku hizi nimekua sana .unajua nini nilifungua id ya kiume jf nikajifanya natafuta mchumba weee nina picha za kutosha ***** nawacheki tu .ole wao mtu aingie kwenye tisini
AfadhaliAsante sana mbebez wake mtu tena nilikuwa sina hata mpango wa kucharge kuna ndg yangu mmoja ndio kanisumbua eti amka ukacharge simu huko kokote kwenye umeme
Ahahaa ila wengine wachonganishiWengine wastaarabu mnooo kama kaka angu Bonny Mungu azidi kumweka tu jamani mstaarabu sana msambaa mwenzangu sana
Tanesco wamekuja jana wamebadilisha transfoma imelipuka tena eti wamesema wanaweza kuja leo au keshoAfadhali
Sasa wanatengeneza lini!!