Monday Morning Special!!

Sasa si unakuta hana cha kugombana na wewe. Atakuuliza nini hapo.
 
Umakini unatakiwa lakini unafiki pia tuache!! Kama watu wamegombana hukoo wewe mtu mzima kujibebesha ugomvi wao ni uzwazwa tuu!!

Waache wapambane hukoo siku wakipatana utaweka wapi sura yako!! Sijui kwa nini tumekuwa hivi!!
 
Nilikuwa nawaonaga wanawake wote humu mashosti zangu weee nilikoma ila nilichokifanya mungu anisamehe Ila Nina roho nzuri balaa siwezi mfanyia mtu ubaya maisha
Mi bado 98% ya wadada tunaongea vizuri kwa kweli. Kama kuna mtu ana hasira na mimi nampa pole maana asitegemee tutagombana.
 
Umakini unatakiwa lakini unafiki pia tuache!! Kama watu wamegombana hukoo wewe mtu mzima kujibebesha ugomvi wao ni uzwazwa tuu!!

Waache wapambane hukoo siku wakipatana utaweka wapi sura yako!! Sijui kwa nini tumekuwa hivi!!
Kama mm na wewe tukigombana ugomvi wetu asiingilie mtu tutapambana wenyewe
 
Umakini unatakiwa lakini unafiki pia tuache!! Kama watu wamegombana hukoo wewe mtu mzima kujibebesha ugomvi wao ni uzwazwa tuu!!

Waache wapambane hukoo siku wakipatana utaweka wapi sura yako!! Sijui kwa nini tumekuwa hivi!!
Kweli kabisa. Unafiki humu ndio nyumbani kwake.Tuache unafiki. Na tujue mtu anapomfata mwingine kumwambia mambo yangu ujue hata yake yanazungumzwa sana tu.
 
Yaani yaani. Nikajisemea moyoni trust no biihh. Utakuta hata alieitoa ni mwanaume. Wanaume wa humu nao hawakaniwi ujue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…