Monday Morning Special!!

Monday Morning Special!!

Ewaaaaa
Hapo ndo umeongea ndugu!! Kila mtu angekuwa na akili ka zako tungekuwa mbali sana!!!

Yaani mtu anakuchukia mpaka akiona avatar yako anauguaa!! Kwenye wengi mikwaruzano haikosekani sie binadamu, ukiona mekosa niulize tuu kwa nini hivi lakini?! Kwani shida inakuwa wapi hapo!
Sasa si unakuta hana cha kugombana na wewe. Atakuuliza nini hapo.
 
Nimekupenda bila pesa. Muhusika akikosa tafuta namna umwambie. Kugombana wagombame wao huko PM wakiyaleta hapa watu wanashadadia kwani wakati wanafatana mpaka yakatokea yaliyotokea walitutaarifu.

Halafu mambo binafsi ya PM kuyaleta hapa jukwaani ni uzwazwa. Wagombane huko PM sisi hayatuhusu.

Hii tabia ya fulani akipishana kiswahili na fulani kundi la fulani linamnunia fulani ni tabia za la 4 B ikiwa chanzo wanakijua wao na ukweli wanaojua wao. Wengine wako kuchafua watu tu hapa tuwe makini jamani.
Umakini unatakiwa lakini unafiki pia tuache!! Kama watu wamegombana hukoo wewe mtu mzima kujibebesha ugomvi wao ni uzwazwa tuu!!

Waache wapambane hukoo siku wakipatana utaweka wapi sura yako!! Sijui kwa nini tumekuwa hivi!!
 
Nilikuwa nawaonaga wanawake wote humu mashosti zangu weee nilikoma ila nilichokifanya mungu anisamehe Ila Nina roho nzuri balaa siwezi mfanyia mtu ubaya maisha
Mi bado 98% ya wadada tunaongea vizuri kwa kweli. Kama kuna mtu ana hasira na mimi nampa pole maana asitegemee tutagombana.
 
Umakini unatakiwa lakini unafiki pia tuache!! Kama watu wamegombana hukoo wewe mtu mzima kujibebesha ugomvi wao ni uzwazwa tuu!!

Waache wapambane hukoo siku wakipatana utaweka wapi sura yako!! Sijui kwa nini tumekuwa hivi!!
Kama mm na wewe tukigombana ugomvi wetu asiingilie mtu tutapambana wenyewe
 
Umakini unatakiwa lakini unafiki pia tuache!! Kama watu wamegombana hukoo wewe mtu mzima kujibebesha ugomvi wao ni uzwazwa tuu!!

Waache wapambane hukoo siku wakipatana utaweka wapi sura yako!! Sijui kwa nini tumekuwa hivi!!
Kweli kabisa. Unafiki humu ndio nyumbani kwake.Tuache unafiki. Na tujue mtu anapomfata mwingine kumwambia mambo yangu ujue hata yake yanazungumzwa sana tu.
 
Mie bado ni shost ako penda usipendee!!
Wewe sijui uliwakosea nini aki,ulikuwa mtu wa mwisho kuamini eti watu wanakuchukia mpaka siku naona sura yako inabembea huku!!

Nilijifunza saaana, nkasema kama miss kafanyiwa hivi vipi mie!! Huwezi amini niliumia mnooo!!!
Yaani yaani. Nikajisemea moyoni trust no biihh. Utakuta hata alieitoa ni mwanaume. Wanaume wa humu nao hawakaniwi ujue.
 
Back
Top Bottom