Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Unafiki mbaya sana.sijui huko mtaani kwao wanaishije.Yaani ndo maana nkasema wote humu ni WANAFIKI!!! Hivi ukijua sura ya Sakayo inakunyima nini usingizi mpaka uisambazee?! Kwamba natokea sayari nyingine ama?!
Hi cute shunieSina chochote kaka angu zaidi ya kupata mabaraka kutoka kwa Mungu uzidi kubarikiwa sana niko natengeneza mazingira yangu vizuri ya tigo pesa
Huyo mtekaji hafai kaka angu kama hata tigo pesa hazitaingia na we kaka na ujanja wako wote anatembeaje na wallet na atm card zoteHa ha ha ha ha Mtekaji anatembea na wallet na atm card zote so pata picha
Sasa yakibuma ndo tunayoyaona humuu..Kabisa sasa wajinga wanafurahia hawajui hicho ni kinyume chake.
KabisaHuo ndo motto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tunamalizanaga wenyewe huko tunanuniana tukija jf tunacheka kama kawaida hakuna anayejua
Hi babeHi cute shunie
Nahis ameshantengeneza sjielew kabisaaa yaan fanyen Maombi sio bureHuyo mtekaji hafai kaka angu kama hata tigo pesa hazitaingia na we kaka na ujanja wako wote anatembeaje na wallet na atm card zote
HahahaHalafu maisha ni mafupi sana na ni matamu ukinuna nuna unazeeka haraka na kufwa
Aiseeee...ila kuna watu wapumbavu hivi unapata wapi muda wa kusengenya mwingine!!! Akiii kuna viumbe vinajiwezaUsithubutu kukutwa. Siku likizushwa lako chief watu wanashinda tu pm kwa watu kusambaza umbea
Kwani hawana akili hao wakuwekee nzuri usifiwe wanakuwekea mbaya tuEeeeh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na mwisho wa siku lazima yabume tu.Sasa yakibuma ndo tunayoyaona humuu..
Wanazungukana huko weeeee mwisho yanakuja jukwaani!!
Jamani hatuyatakii pambaneni huko huko mlikoanzia!! Kuna watoto wetu humu, wazazi wetu pia!! Heshima muhimu