Monday Morning Special!!

Monday Morning Special!!

Yaani ndo maana nkasema wote humu ni WANAFIKI!!! Hivi ukijua sura ya Sakayo inakunyima nini usingizi mpaka uisambazee?! Kwamba natokea sayari nyingine ama?!
Unafiki mbaya sana.sijui huko mtaani kwao wanaishije.
 
Sasa yakibuma ndo tunayoyaona humuu..
Wanazungukana huko weeeee mwisho yanakuja jukwaani!!

Jamani hatuyatakii pambaneni huko huko mlikoanzia!! Kuna watoto wetu humu, wazazi wetu pia!! Heshima muhimu
Na mwisho wa siku lazima yabume tu.
Mimi binafsi mtu akinifata kuniambia habari za Member mwingine wa humu ninampa Block la mwendokasi maana sitaki umbea apambane na mabifu yake hukohuko.
 
Back
Top Bottom