Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Kabisaaa my dear!!Cheka na kila mtu Hii mitandao ina mengi sana
Hakuna sababu yoyote ya kujenga chuki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisaaa my dear!!Cheka na kila mtu Hii mitandao ina mengi sana
JamaniLini umekuwa mwanaume eti jamani nikumwagie masifa yako
AhsanteeeTatizo la humu ndani ni UNAFIKi tuu hakuna linginee!! Sio kwa wanaume wala wanawake wote ni WANAFIKI!!!
Kama unajua Sakayo kakukosea kwa nini usiniambie mimi kama msamaha nikuombe?! Tabia ya kuanzia sijui ni mavikundi yamnunie Sakayo sababu kakusosea ni unaaa!
Sisi ni watu wazima, mambo za kitoto tuache haya yatabaki kuwa maisha tuu!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wanakuwekea mbaya uchekweWaweke nzuri ili iweje sasa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi huwa najiambia humu JF hata mtu anitukane vipi maadamu hanijui simjui wacha atukane mpaka nafsi yake iridhike [emoji23]Kabisaaa my dear!!
Hakuna sababu yoyote ya kujenga chuki
Watu wa humu wachonganishi jamani. Acha kabisa kabisa. Sijui bank account zao zinajaa watu wakiwa wanagombana au wanapata niniAhahaa ila wengine wachonganishi
Wanakuja pm miss huyo mtu picha hii namba yake hii anaishi huku mlipue nikawaambia no mi wala acha afurahi ameshinda.Mimi nitakuja kama yesu miaka mingi sana mbele wala sio jf au mtandaoni.ndo maana nikasamehe kujiepusha na dhambi
Kwendraaaa uko ujue we ndio umeniamsha yaani ni msumbufu we mdada nilishapanga acha lisimu lizime sihangaiki[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmh kumbe mambo ni makubwa hivi??hadi whatsapp mweeehUko nyuma kweli. Nini vikundi kuna mpaka whatsapp group nasikia za kusakama members humu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo nae kawa kama kaa siku hizi
Wanunua ugomvi. Kumsaidia bby au shoga [emoji23][emoji23]
Wakicheka wanapata nini sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wanakuwekea mbaya uchekwe
La 4b [emoji23][emoji23][emoji23]Nimekupenda bila pesa. Muhusika akikosa tafuta namna umwambie. Kugombana wagombame wao huko PM wakiyaleta hapa watu wanashadadia kwani wakati wanafatana mpaka yakatokea yaliyotokea walitutaarifu.
Halafu mambo binafsi ya PM kuyaleta hapa jukwaani ni uzwazwa. Wagombane huko PM sisi hayatuhusu.
Hii tabia ya fulani akipishana kiswahili na fulani kundi la fulani linamnunia fulani ni tabia za la 4 B ikiwa chanzo wanakijua wao na ukweli wanaojua wao. Wengine wako kuchafua watu tu hapa tuwe makini jamani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi huwa najiambia humu JF hata mtu anitukane vipi maadamu hanijui simjui wacha atukane mpaka nafsi yake iridhike [emoji23]
Nimekupenda buree[emoji108] [emoji108] [emoji108]Hao wanaochochea trust me wanakuaga hata hawaelewi kinachoendelea. Wabaya ni wale wanaojua kinachoendelea halafu wanatumia wengine waendeleze ugomvi.