Monday Morning Special!!

Monday Morning Special!!

Asante sana mbebez wake mtu tena nilikuwa sina hata mpango wa kucharge kuna ndg yangu mmoja ndio kanisumbua eti amka ukacharge simu huko kokote kwenye umeme
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo la humu ndani ni UNAFIKi tuu hakuna linginee!! Sio kwa wanaume wala wanawake wote ni WANAFIKI!!!

Kama unajua Sakayo kakukosea kwa nini usiniambie mimi kama msamaha nikuombe?! Tabia ya kuanzia sijui ni mavikundi yamnunie Sakayo sababu kakusosea ni unaaa!

Sisi ni watu wazima, mambo za kitoto tuache haya yatabaki kuwa maisha tuu!!
Ahsanteee
 
Ahahaa ila wengine wachonganishi
Wanakuja pm miss huyo mtu picha hii namba yake hii anaishi huku mlipue nikawaambia no mi wala acha afurahi ameshinda.Mimi nitakuja kama yesu miaka mingi sana mbele wala sio jf au mtandaoni.ndo maana nikasamehe kujiepusha na dhambi
Watu wa humu wachonganishi jamani. Acha kabisa kabisa. Sijui bank account zao zinajaa watu wakiwa wanagombana au wanapata nini
 
Nimekupenda bila pesa. Muhusika akikosa tafuta namna umwambie. Kugombana wagombame wao huko PM wakiyaleta hapa watu wanashadadia kwani wakati wanafatana mpaka yakatokea yaliyotokea walitutaarifu.

Halafu mambo binafsi ya PM kuyaleta hapa jukwaani ni uzwazwa. Wagombane huko PM sisi hayatuhusu.

Hii tabia ya fulani akipishana kiswahili na fulani kundi la fulani linamnunia fulani ni tabia za la 4 B ikiwa chanzo wanakijua wao na ukweli wanaojua wao. Wengine wako kuchafua watu tu hapa tuwe makini jamani.
La 4b [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom