Monday Morning Special!!

Monday Morning Special!!

Siongei mama macho ya kwenye Avatar au [emoji23][emoji23][emoji23] wayatoboe kabisa wakitaka. Maisha yangu humu yatabaki Private mpaka siku nitakapo amua kupumzika na JF
Kwa mfano nije nianze tu sweetlee anamchukulia miss bwana. Ndo story zao zikogo hivyo sasa. Utashangaa watu wanakusema we mwizi wa bwana wakati wewe hata hujui lolote [emoji23][emoji23]
 
Kwa mfano nije nianze tu sweetlee anamchukulia miss bwana. Ndo story zao zikogo hivyo sasa. Utashangaa watu wanakusema we mwizi wa bwana wakati wewe hata hujui lolote [emoji23][emoji23]
Bwana wa ID na Avatar fake ama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi kwenye maisha ya kawaida hata unichukulie mume halali kabisa hutaona hata nikirusha ngumi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ya nini kujipa ngeu nikose salamu huko barabarani [emoji23]
 
Back
Top Bottom