Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Na ndo utaweza kuishi na watu!! Mwenyewe wala hawanishtui mshipaMimi huwa najiambia humu JF hata mtu anitukane vipi maadamu hanijui simjui wacha atukane mpaka nafsi yake iridhike [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndo utaweza kuishi na watu!! Mwenyewe wala hawanishtui mshipaMimi huwa najiambia humu JF hata mtu anitukane vipi maadamu hanijui simjui wacha atukane mpaka nafsi yake iridhike [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka
Na ndio dawa yao hiyo.Na ndo utaweza kuishi na watu!! Mwenyewe wala hawanishtui mshipa
Kwa mfano nije nianze tu sweetlee anamchukulia miss bwana. Ndo story zao zikogo hivyo sasa. Utashangaa watu wanakusema we mwizi wa bwana wakati wewe hata hujui lolote [emoji23][emoji23]Siongei mama macho ya kwenye Avatar au [emoji23][emoji23][emoji23] wayatoboe kabisa wakitaka. Maisha yangu humu yatabaki Private mpaka siku nitakapo amua kupumzika na JF
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Si wanajitoa ufahamu tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wakipata matahira wanasikiliza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Picha inazunguka tu jamani unajiuliza picha imefikaje jamaniEeeh. Daaaah
HahahaKaka angu lazima niende kwa Mwakasege nikapige maombi sio wewe ninayekujua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Acha nicheke mama na ninavyopenda kucheka sasa nani anapenda kuzeeka harakaCheka mwaya sura isije ikapata makunyanzi buree [emoji23][emoji23]
Bwana wa ID na Avatar fake ama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa mfano nije nianze tu sweetlee anamchukulia miss bwana. Ndo story zao zikogo hivyo sasa. Utashangaa watu wanakusema we mwizi wa bwana wakati wewe hata hujui lolote [emoji23][emoji23]
Nikuwapuuza tuu my dear!!Hivi kuna mtu kawalazimisha kuyaleta jukwaan?
Simple logic, mmegombana mkashindwa kuombana misamaha live, whassup, pm mkayaleta public, sisi tufanyeje sakayo?
Eti umeshawahi kuungwa kwa hayo magroup [emoji23][emoji23]Abeeeee
Kabisaaa yaaniNi kutokujitambua tu.
Wale wasengenyaji ndio wanapenda kuzeeka haraka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Acha nicheke mama na ninavyopenda kucheka sasa nani anapenda kuzeeka haraka
Nikapige maombi dada kwa ajili ya aliyemteka kaka angu jamani mpaka tigo pesa kateka huyu mtekaji sio mtu mzuri kwa afya yanguHahaha
Kuna nini kwa Mwakasegee
EwaaaaaNa mwisho wa siku lazima yabume tu.
Mimi binafsi mtu akinifata kuniambia habari za Member mwingine wa humu ninampa Block la mwendokasi maana sitaki umbea apambane na mabifu yake hukohuko.