Mondi platinumuz anaelekea kuwa level ya Michael Jackson

kumbe kuna vitu huwa unatema madini. siasa achana nazo.
 
Mj huyuhuyu marehemu au una mzungumzia yupi?
 
Kinachokera zaidi kuona show madjozi kupokea tuzo bet wakati mond na miaka kibao kwenye muziki hajawahi pata tuzo
Nyimbo za bongo flava bhana huwa zina maajabu yake,Utasikia imevunja record huko You tube lakin tuzo zikitokea una shangaa hata kwenye category hazimo,Hapo ndo huwa nashangaa tu.
 
Uzi una like 5 jamaa una likes 29..wanajaribu sana kumpa dogo u Mungu mtu..ni msanii mzuri sawa bt not to that extent..thanx for such kind of examples.
 
Kinachokera zaidi kuona show madjozi kupokea tuzo bet wakati mond na miaka kibao kwenye muziki hajawahi pata tuzo
sasa bro ulitegemea nyimbo kama kanyaga au mbio zichukue tuzo za BET,,,
 
huyo Mondi wako hadi hivi sasa ana recognition gani za kimataifa ktk masuala ya music hadi umlinganishe na the wacko jacko?
Je ameonekana mara ngapi ktk The World Music Awards, Guinness Book of World Records, na Grammy Awards?
Wasameheni jamani mashabiki wa WCB ndo walivyo
 
Nyimbo za bongo flava bhana huwa zina maajabu yake,Utasikia imevunja record huko You tube lakin tuzo zikitokea una shangaa hata kwenye category hazimo,Hapo ndo huwa nashangaa tu.
Siyo za bongofleva za WASAFI ndo zina TABIA HIYO hahahaaaa..
 
Kwa hiyo kwa hivyo vi uchacu vyako ya KTMA na nn sijui NDO UNATAKA KUSEMAJE?
 
Ndo ubaya wa watoto kumjua KING MJ via youtube
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…