DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Alihisi kinyaa kutua kwenye ardhi ya Afrika.Unataka kusema MJ hakuwahi kukanyaga AFRICA??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alihisi kinyaa kutua kwenye ardhi ya Afrika.Unataka kusema MJ hakuwahi kukanyaga AFRICA??
Sababu ya kuhisi kinyaa ilikua nini??Alihisi kinyaa kutua kwenye ardhi ya Afrika.
C&P
How many awards did Michael Jackson receive?
Jackson's other achievements include 39 Guinness World Records—including one for "Most Successful Entertainer of All Time"—13Grammy Awards as well as the Grammy Legend Award and Grammy Lifetime Achievement Award, 26 American Music Awards, 16 World Music Awards and the estimated sale of up 1 billion units worldwide.
Harufu mbaya ya bara la Afrika hususani Tanzania. Muda mwingi tulimuona akiwa anatembea huku amebana pua.Sababu ya kuhisi kinyaa ilikua nini??
kumbe kuna vitu huwa unatema madini. siasa achana nazo.
Nyimbo za bongo flava bhana huwa zina maajabu yake,Utasikia imevunja record huko You tube lakin tuzo zikitokea una shangaa hata kwenye category hazimo,Hapo ndo huwa nashangaa tu.
Uzi una like 5 jamaa una likes 29..wanajaribu sana kumpa dogo u Mungu mtu..ni msanii mzuri sawa bt not to that extent..thanx for such kind of examples.Huwezi kufika 10 kama tatu hujaipitia, diamond kuna level hajaivuka ili afike huko unakokuwaza
Kwani kaishamfikia wizkid na davido ambao wametoa hit song pamoja na kupiga show jukwaa moja na ma rapper kama drake na migos nk???
Diamond yupi ambaye unamfananisha na MJ?? huyu huyu aliye copy instrumental ya davido?? Na usikute hata hiyo video yake mpya unayoinadi akawa ame C&P
Wizkid ft drake moja ya collabo iliyobamba kwenye top ten ya billboard. Ni nyimbo gani ya diamond ishawahi kuwekwa hata top 200 kwenye billboard?
hawezi kufika hatua ya Mj kama bado kina wizkid wamemficha kwenye international hit song
sasa bro ulitegemea nyimbo kama kanyaga au mbio zichukue tuzo za BET,,,Kinachokera zaidi kuona show madjozi kupokea tuzo bet wakati mond na miaka kibao kwenye muziki hajawahi pata tuzo
Wasameheni jamani mashabiki wa WCB ndo walivyohuyo Mondi wako hadi hivi sasa ana recognition gani za kimataifa ktk masuala ya music hadi umlinganishe na the wacko jacko?
Je ameonekana mara ngapi ktk The World Music Awards, Guinness Book of World Records, na Grammy Awards?
Siyo za bongofleva za WASAFI ndo zina TABIA HIYO hahahaaaa..Nyimbo za bongo flava bhana huwa zina maajabu yake,Utasikia imevunja record huko You tube lakin tuzo zikitokea una shangaa hata kwenye category hazimo,Hapo ndo huwa nashangaa tu.
Hahahaaa we mshana weweHaters watabisha....!!!!
Kwa hiyo kwa hivyo vi uchacu vyako ya KTMA na nn sijui NDO UNATAKA KUSEMAJE?Diamond awards and nominations
Awards and nominations
Award
Wins
Nominations
HiPipo Music Awards
1
0
Top Ten Tube Music Awards
1
0
The Future Africa Awards
1
0
Nzumari Awards
1
0
MTV Europe Music Awards
1
1
MTV Africa Music Awards
1
5
BET Awards
0
1
African Muzik Magazine Awards
1
4
Tanzania Music Awards
17
11
IRAWMA Awards
1
1
AFRIMMA Awards
1
2
HIRONIMO MHAPA Awards
0
1
Totals
Awards won
22
Nominations
28
Ndo ubaya wa watoto kumjua KING MJ via youtubeJamaa no mbunifu sana. Wimbo japo kuna watu wanajaribu kuudis but tayari ni gumzo kila kona ya hii nchi. Vibanda vyote vinavyoingiza nyimbo kwenye simu, memori card, na hata flash siku mbili hizi wamepiga pesa sana. Unaambiwa kuna foleni KUBWA kila mtu anataka kuupata huu wimbo.
Mondi kwenye video yake mpya ya wimbo wa kanyaga kagongesha watu kwata kama Michael jackson. Video ni nzuri, kwa kweli Mondi ni noumar.
Labda afe afu azaliwe TENA puuumbav..tena mwisho leo kumfananisha the late MJ na mambo ya kipuuzi.MIMI NASEMA MICHAEL JACKSON WETU DIAMOND PLATINUMZ ATAFIKA HUKO
Hahahahaaaa KIJANI KIBICHI.hivi kua shabiki wa Diamond tu na akili zinaruka, kama wale jamaa wanaohamia kile chama cha uoto wa asili?!
Kwa hiyo kwa kuwa alikuwa binadamu wa kawaida ndo kusema???...kama mnavyowasema wengime kwamba hawawez kuwa kama diamomd bas ndivyo amnavyo huyo bwana hatoweza kufika nusu tu ya MJ.Kwani Michael Jackson ni Nani au alikuwa nani???. Si alikuwa binadamu wa Kawaida tu!!.