Dunamist
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 474
- 686
Habarini wakuu
Poleni na taharuki ya COVID-19
Nmeangalia hii tamthilia ya MONEY HEIST (LA CASA DE PAPEL) kama wengi wenu mlivyofanya kipindi hiki cha karantini. Kati ya vitu nlivyogundua ni kwamba mabeberu wako siriaz na agenda zao.
Hebu fikiria USHOGA na USAGAJI unavyokuwa displayed kwenye ile tamthilia. Nakumbuka movie za zamani kulikuwaga na starring and always alikuwaga mtu mwema kwa jamii yake, mtu anayefanya haki always, tulimpenda starring kwa sifa hizo. Starring akifa, movie inaisha nguvu. Kwenye money heist tunampenda PROFESSOR na GANG yake. Hakuna mtu anaonesha kuvutiwa na kazi ya polisi.
Wanapanda ndani yetu the REBELLIOUS MIND, GAYISM and LESBIANISM. Period..