uwe makini kufuatilia season 1 na 2 wakati proff kqtenga miazi mitano ya lecture kuna session aliwafundisha namna ya kuwafanya watu waamini kwamba wao ni heroes na vyote vilipangwa vikafanikiwa.
kulikisha mazungumzo ya raquel kutaka priority iwe kumtoa mtoto mmoja wa balozi badala ya watu 8,hii ni kweli kwamba viongozi wanatumia influence zao kupata upendeleo unaodidimiza wengine wakati sheria inasema wote ni sawa
end of season 2 proff anamuambia raquel kwamba wao wanachofanya kilishawahi na kinafanya mara kibao kwamba watu wanaprinti fedha wanapeleka benki zinakua halali,na haukuitwa wizi...ndio walichofanya wao,hawakuiba fedha ya mtu ila waliingia kuprinti
wanachozingua ni agenda za ushoga,kikweli wamelazimisha tu kuipachika wala haikua na maana ya kuiweka
Sent using
Jamii Forums mobile app