Money Heist ni wazungu wanaosukuma bidii agenda zao kwa nguvu

usikute hapo wewe ni gay kuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ku-jam na hii corona unaumiza mapafu
Kwanini mnapenda kuangalia hayo maujinga halafu mnakuja kulalamika humu? Kwanini uangalie kitu kinachokera moyo wako? Huwa mnalazimishwa na nani? Hebu mjitambue, achaneni na useless issues kwenye TVs na mitandaoni. Jikiteni kwenye yale yenye msaada kwenu. Subscribers/followers ni nyie wenyewe kwa hiari yenu bado mlalamike! Kweli?
 
Tunatafuta "TOPIC" za kuleta JF mkuu, au unasemaje?? Hujapenda??
 

unaelewa maana ya ile plan ya kufanya heist kwanza?

tuanzia hapo

proffesa na wenzie plan yao ilikua kwanza kuchallenge mfumo wa serikali ambao wao ni wezi wa fedha nza mali za umma,ndio maana plan yao haikua kuiba fedha za benki badala yake walianga kuprint wenyewe kwa kutumia mashine ndio maana waliamua kujifungia.

sasa hapo lazima wananchi wawasapoti sababu serikali inawaibia sana


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Series nyingi zimejaa ushoga tu,na usagaji,
Queen sugar,Ambitions,Deputy,greenleaf,
Ni ushoga kwenda mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…