Money Heist ni wazungu wanaosukuma bidii agenda zao kwa nguvu

Sawa mkuu maelezo mazuri, ila season 4 wanaiba dhahabu ndani ya benki kuu ya taifa. Ule ni wizi, na ukiangalia support ya wananchi kwao inaonekana sana season 4
 
Tokyo: But professor when we release part 4 everyone will be in work or in school no one will watch

Professor: that’s where plan Wigan comes. Four months from release date our man in China will eat bat 🦇. The world including Spain will announce a total lockdown. Everyone will be forced to be at home. No Work. No school. Food. Mask. NETFLIX. We will have them where we want them. That’s the plan

😂😂😂
 
Yap, ni kweli. Wanachofanya wazungu ni kutuaminisha kuwa matendo ya ushoga na usagaji ni ya kawaida kbsa ktk maisha. So they tend to implant these abominations into our mind. Hata ile series ya 'The Walking Dead', kuna jamaa black kbsa linakulana mate na mwanaume mzungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu maelezo mazuri, ila season 4 wanaiba dhahabu ndani ya benki kuu ya taifa. Ule ni wizi, na ukiangalia support ya wananchi kwao inaonekana sana season 4

uwe makini kufuatilia season 1 na 2 wakati proff kqtenga miazi mitano ya lecture kuna session aliwafundisha namna ya kuwafanya watu waamini kwamba wao ni heroes na vyote vilipangwa vikafanikiwa.

kulikisha mazungumzo ya raquel kutaka priority iwe kumtoa mtoto mmoja wa balozi badala ya watu 8,hii ni kweli kwamba viongozi wanatumia influence zao kupata upendeleo unaodidimiza wengine wakati sheria inasema wote ni sawa

end of season 2 proff anamuambia raquel kwamba wao wanachofanya kilishawahi na kinafanya mara kibao kwamba watu wanaprinti fedha wanapeleka benki zinakua halali,na haukuitwa wizi...ndio walichofanya wao,hawakuiba fedha ya mtu ila waliingia kuprinti

wanachozingua ni agenda za ushoga,kikweli wamelazimisha tu kuipachika wala haikua na maana ya kuiweka


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa wanaigiza vitu halisi vilivyokwenye jamii yao.Hii ndio kazi ya sanaa kama kwenye jamii yako havipo ni vizuri sana.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sawa, nimefuatilia hata maisha ya waigizaji wake pia, baadhi yao ni Lesbians mfano Nairobi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamezingua kuweka ushoga kweny muvi though nimependa brain waliyotumia kupanga wizi from season 1 but ushoga /lesbian ndo walipoyumba
 
Tatizo yale ni maisha ya kizungu

Anyway
Tumsapoti jamaa
T.me/Netflixafrica

Pata premium account kwa dola 6 tu mwezi mzima

Tuongeze limau na tangawizi
 
we jamaa umenifurahisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…