Money is not power in Tanzania ndiyo maana wafanyabiashara wengi huamua kuingia kwenye siasa

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Kwa baadhi ya nchi money can be power ila si Tanzania

ukichunguza wafanyabiashara wengi upper mid levels na wakubwa unaona wengi wanaona pesa pekee za biashara haziwapi power.

hulazimika aidha kuingia direct kwenye nafasi za siasa hasa upande wa chama tawala au indirectly kujiweka karibu na wenye hizo nafasi.

Siasa ina nguvu sana Tanzania, mtu anaweza kalamba teuzi mshahara milioni 3 tu lakini anaweza kumpitisha tajiri kwenye tanuri la moto.











 
In this country u gotta make money first
Then when u get money u get the power then when u get the power u get the women

Tony Montana, Scarface 1983.
 
Wanaenda kwenye siasa ili kujilinda wao wenyewe na sio vinginevyo
 
Hawaingii humo kutafuta pesa au kutetea wananchi ila ni kulinda biashara zao. Wanalindaje hilo ni somo la siku nyingine
Ndio mule mule kwamba hawajiamini ...Mfano Makonda alipokuwa Dsm alikuwa na uwezo wa kugombana na Rostam ,siasa bongo ina nguvu sana.

Rostam Aziz kwney biashara zake kuna watu anawalipa pesa nyingi hata mara 8 ya mshahara wa Makonda ,ila alikuwa anambwela.
 
fact.
matajiri wasiokua kwenye siasa pia wanajiweka karibu na watawala kulinda na kuboresha biashara zao.
just imagine account yako inasoma B, kama mmepishana kauli na mwenye uteuzi wake roho inaenda mbio sana, muda wowote unahofia inaweza kupigwa loki na taasisi kibao zinazo pokea order kutoka kwa wanachama wanaolamba teuzi,
 
just imagine account yako inasoma B, kama mmepishana kauli na mwenye uteuzi wake roho inaenda mbio sana, muda wowote unahofia inaweza kupigwa loki na taasisi kibao zinazo pokea order kutoka kwa wanachama wanaolamba teuzi,
kabisa ipo namna hiyo ujakosea.
 
Bila kujipeleka kwenye siasa lazima utapata misukosuko tu
Utafuatiliwa mpaka upate kiharusi
Sio Bongo tu bali nchi masikini zote ukiwa tajiri lazima ujipendekeze kwenye chama tawala na wakija wengine wewe ni ku switch vyama tu

Wapo wengine wamekataa kuwa kwenye siasa ila wanatoa mabilioni kupata Amani ya mda
 
Sababu kuu ni kupata Favor ktk biashara zao.

Mfano kuna MTU namjua ni diwani kaingia CCM kwa lengo la kupata upendeleo hasa kukwepa kodi.

Hao jamaa ukiwabana walipe kodi legally wana-drop wanabaki bila nguvu.

Wafanyabiashara wanoingia ktk siasa wanakimbia kodi.
 
shallow analysis! very shallow one. angalia post #2 amekujibu vizuri kabisa. wako mle kulinda biashara zao Leo Chadema ikiingia madarakani, wote wahatamia kule as long as Chadema will entertain such silly , sartan policies.....
 
Money+power=respect.
Power ndio Influence kwenye uongozi wa kiserikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…