Money Penny kwanini unapendwa sana na wanaume na sio wanawake kwenye Jamii Forums?

Wekeni account Za insta na utube tuwafolo
@Money Penny njoo huku uweke account zako upate followers.....Instagram vipost vyako vina like 2 vikizidi sana 8 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] " Yuchub" viewers ngapi vile????
Aisee mi likes nane na viewers mia haziwezi nafanya nijitambe eti nna hela nauza "hadisi" get a life girl!!!!!
Ila mi sina roho mbaya nimekufollo na ku"sasklaib".....na anaeniuliza kuanzia sasa ntamwambia aku support. You really look like you could do with our support .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maskini, hata akipost video wanaview wawili au watatu. She's really desperate for fame.
 

Mi nimemfollow insta youtube sina akaunti


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hapo juu anatuchota tusiombe ombe hela mwanamke kujitegemea huku kati kati anatuambia kudanga ndiyo mpango mzima.
Wadanganyi wasioenda shuleπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yani Leo wanaume wamenielewa mpaka mwisbo
 
Me nashukuru leo kwakuniongezea wateja
Mods naona wamelala Ila fresh tu
Mpaka It wangu anashangaa trafficking ya leo
Mungu Akubariki Kwa kunipiga teke, naona umeniongezea mwendo WA safari
 
Muongezeeni tu aisee she needs supoort.
Maana ameita wanaume hadi koo limekauka sioni wanaokuja [emoji23][emoji23][emoji23] wanawake tuinuane.

Sent using Jamii Forums mobile app
MaskiniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wivu wako ndio hela yangu anti
Eti nimeajiriwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Labda na kampuni ya maji taka
 
Yes
Posts zake za mwaka huu likes na viewers ni tia maji tia maji sasa badala atumie mbinu nzuri kutafuta followers yeye anatuchamba πŸ˜‚
Na followers NI wewe anti?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Utanikuta kunitia nuksi kama Yona kwenye Biblia Bora ukae huku huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…