Money Penny kwanini unapendwa sana na wanaume na sio wanawake kwenye Jamii Forums?

Money Penny kwanini unapendwa sana na wanaume na sio wanawake kwenye Jamii Forums?

😂😂😂😂😂

Wanawake wameanza kuchambana!!
Na ugomvi wao furaha yetu maana naanza kuona tu chupi twao njenje..😂
Kuna mmoja nimeiona nyekundu ina ua katikati! Mwengine yakijani imeandikwa ccm mbele kwa mbele😂
Huyu mwengine ndo kiboko ina rangi nne na imeandikwa "mjini mipango"!!😂😂
 
Hebu mwambie aje aone. Unadhani kila mtu anazoeleka kipuuzi kama wewe? I dare you.
Sio nazoeleka, am friendly
Ndio maana Nina maisha kuliko wewe na ndicho kinachokuuma anti😂😂😂😂

😂😂😂😂😂

Wanawake wameanza kuchambana!!
Na ugomvi wao furaha yetu maana naanza kuona tu chupi twao njenje..😂
Kuna mmoja nimeiona nyekundu ina ua katikati! Mwengine yakijani imeandikwa ccm mbele kwa mbele😂
Huyu mwengine ndo kiboko ina rangi nne na imeandikwa "mjini mipango"!!😂😂
 
Aisee nipo hapa toka mwanzo Thread sijaona mwanaume alienishangaa au wanakuja kunishangaa PM kwako???
Hapa nilipo nimesoma uzi sijahitaji akili kujua kwamba umeandikwa na mtu "desperate anapenda attention " Imagine conversations ulizoandikiwa PM unakuja kuzitengenezea uzi [emoji23][emoji23][emoji23]
Kila baada ya sentensi unaita wanaume...alafu hatuwaoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anawaita kama chizi yani😂😂😂😂😂😂
 
Wewe sio mzima.
Maskini umeboa 😂😂😂😂
Huna PA kuanzia, Kila utakapo comment kuanzia leo unaingia anga la mtoto WA kiume unalo, washakujua, labda upotee Kwa muda JF
 
Hao waliokuja kuanzia page 1 mpaka 7 NI akina mama?!
Sema hivi dada Wivu unakusumbua na huna KAZI[emoji23][emoji23][emoji23]
Me skulaumu, hakuna mwanaume atakaekusapoti wewe kwasababu ya ujinga wako Sana Sana watakugonga na kusepa kama walivyomfanya dadako mwuza chupi insta, kaishia kuzaa na.... Sasa anajiita kaokoka[emoji125]

Ujinga au no ujinga bado napata sapoti Kwa watu na Kila siku Wana comment hawana shida na Mimi, mwenye shida NI wewe ndo maana uko hapo hapo unajifariji Kwa matusi

Poor you, maisha hayaendi hivyo dada, plz kaa ma wanaume wakunyooshe, probably we na mwuza chupi mtaolewaga sasa[emoji125][emoji125][emoji125]
Darling I have a job nzuri tu. I earn a lot better...Way better than a cheap story writer!!
FYI huyo muuza chupi sina hata undugu nae. To me she is a stranger just as your are. Ila ulikosa tu ustaarabu kwenda kutukana kwenye page yake kisa kamuajiri mwanaume alokukataa . Whatever her life is atleast she is classy and making an honest living out of it.... while you are here making a fool out of your sorry self .Shame!!
Did she say that guy ni Tax consultant na proffesional Accountant?? No wonder he couldn't keep up with you coz kichwa kimejaa mapenzi tu [emoji23]akakupiga chini. See your life....late 30's, desperate and seeking attention from starngers mitandaoni .Get a life b@&#
Yani kichaa chako wewe kwetu sie burudani....endelea


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom