Money Penny kwanini unapendwa sana na wanaume na sio wanawake kwenye Jamii Forums?

Money Penny kwanini unapendwa sana na wanaume na sio wanawake kwenye Jamii Forums?

Uwe unakuja kujichekesha chekesha kwenye minyegesho ya huyu mdau. Maana anatafuta umaarufu kwa nguvu kulazimisha kuonekana eti tunamchukia ndiyo maana hatucomment.
Nimeteleza kwa leo tu nikaangukia kwenye huu Uzi
Nyuzi zake hazijawahi nibariki ndiyo maana wengine tunapitaga kimya kimya, akitaka anipate labda aanze kupost simulizi.
 
Nani skuhizi ananunua chupi zake labda wewe
Mama hakuna kitu kinauzwa kama Stori za Mapenzi nikutaarufu
Kwenye website yangu Nina viewers 500,000 na nalipwa na word press
Mbaya zaidi Huyo mwuza chupi wako Hana hela kiivyo kama Mimi 😂😂😂😂 she' s struggling NI vile haujui
Huyo boya alisoma na mwangu Shaabanrobert, mwanangu WA kiume, sasa Nani anatafuta umaarufu Instagram?!😂😂😂

Anti ndio maana nakwambia mdau hakukosea ndege wanaoruka pamoja hufanana!

Me siwezi Fanana na wewe kwasababu wewe unapepea watu huna hata 100 hapo ulipo na hii karantini ndio kabisa, wenzio tunaingiza hela kwenye HADITHI we hata mshahara huna

Me naongea Mapenzi na kuandika Mapenzi naingiza hela Kwa siku, Nani Hana akili?!
Muda wowote ntakufata piemu..😜
 
Hahahahhahaha kimeo kweli.
Nimekushushua na wewe unasema nimekuuliza swali?😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Unasema hauliliii kusapotiwa huu Uzi umefungua wa nini? Huu Uzi una maana gani kama sio kulilia kusapotiwa ?
Me nadhani kichwani kwako sio mzima
Na wala sikulaumu ngoja waje wanaume wenye uume wakusaidie
 
Hahahahhahaha kimeo kweli.
Nimekushushua na wewe unasema nimekuuliza swali?😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Unasema hauliliii kusapotiwa huu Uzi umefungua wa nini? Huu Uzi una maana gani kama sio kulilia kusapotiwa ?
Na bado kila muda anatag watu, hao anaotag wenyewe hawaji/ hawasupport mashudu yake lakini yumo tu.
Tuendelee kumjibia jibia quotes zake Uzi wake uwe juu juu apate support anayoililia hapa
 
Anti Uzi huu ukiusoma Kwa kutumia akili na Kwa kutulia haukuhusu kabisa
Ndio maana wanaume wanakushangaa Una shida gani?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hujatajwa jina, hujaitwa, NI mwanaume alieuliza swali sio wewe

Doh wanawake jamani me naomba Binamu kabanga wasaidie

U didn't hurt any of my feelings, umeonekana mbululaz zaidi Kwa watu kuingilia mambo yasiokuhusu
Aisee nipo hapa toka mwanzo Thread sijaona mwanaume alienishangaa au wanakuja kunishangaa PM kwako???
Hapa nilipo nimesoma uzi sijahitaji akili kujua kwamba umeandikwa na mtu "desperate anapenda attention " Imagine conversations ulizoandikiwa PM unakuja kuzitengenezea uzi [emoji23][emoji23][emoji23]
Kila baada ya sentensi unaita wanaume...alafu hatuwaoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na bado kila muda anatag watu, hao anaotag wenyewe hawaji/ hawasupport mashudu yake lakini yumo tu.
Tuendelee kumjibia jibia quotes zake Uzi wake uwe juu juu apate support anayoililia hapa
Mbona wamekuja na wamecomment
Sema ulikuwa buzy na mambo yako ya Corona ndio maana hujawaona
Nakushauri Achana na Mimi, ushajiaibisha vya kutosha Kwa wanaume ambao unahisi watakufuata pm
Kweli Kwa money penny kunanoga Daima, no wonder Nina viewers laki 5 kwenye website yangu😂😂😂
 
Wanaume humu wamekufanya msemaji wao???
I was only stating facts....hujanishinda ila naona tu unatatizo sehemu....
Ungekua unajimudu ungepambana na yule dada hadi mwisho sio kutoa lame excuses ooooh nawaheshimu wazazi wake blah blah....

Wivu??Miwani???? Darling I'm too confident I don't need shades to cover my face...
Ooooh ukimaliza kuuza "hadisi" zako nitafute nikupe a diet program for free looks like u need one [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nilivoona picha nkajua kibuyu cha Mshana kumbe the hottest lady in JF
Byeeee Felicia

Sent using Jamii Forums mobile app

Mmmmh napita tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee nipo hapa toka mwanzo Thread sijaona mwanaume alienishangaa au wanakuja kunishangaa PM kwako???
Hapa nilipo nimesoma uzi sijahitaji akili kujua kwamba umeandikwa na mtu "desperate anapenda attention " Imagine conversations ulizoandikiwa PM unakuja kuzitengenezea uzi [emoji23][emoji23][emoji23]
Kila baada ya sentensi unaita wanaume...alafu hatuwaoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao waliokuja kuanzia page 1 mpaka 7 NI akina mama?!
Sema hivi dada Wivu unakusumbua na huna KAZI😂😂😂
Me skulaumu, hakuna mwanaume atakaekusapoti wewe kwasababu ya ujinga wako Sana Sana watakugonga na kusepa kama walivyomfanya dadako mwuza chupi insta, kaishia kuzaa na.... Sasa anajiita kaokoka🏃

Ujinga au no ujinga bado napata sapoti Kwa watu na Kila siku Wana comment hawana shida na Mimi, mwenye shida NI wewe ndo maana uko hapo hapo unajifariji Kwa matusi

Poor you, maisha hayaendi hivyo dada, plz kaa ma wanaume wakunyooshe, probably we na mwuza chupi mtaolewaga sasa🏃🏃🏃
 
Mbona wamekuja na wamecomment
Sema ulikuwa buzy na mambo yako ya Corona ndio maana hujawaona
Nakushauri Achana na Mimi, ushajiaibisha vya kutosha Kwa wanaume ambao unahisi watakufuata pm
Kweli Kwa money penny kunanoga Daima, no wonder Nina viewers laki 5 kwenye website yangu😂😂😂
Hahaha
Wanaume wanaojitambua huku JF wapo tunawajua na hata mmoja sijaona akikatisha kwenye Uzi..utawapata hao hao mnaofanana akili
 
Back
Top Bottom