Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Hivi nikisema unajali nitakuwa nakosea? Kwa sababu ungekuwa hujali wala usingepoteza muda wako kuandika thread.Unajua me sikujua kama wanawake huku hawanipendi๐๐๐ naona mdau amenifungua macho Inbox, maskini! me naona Sawa Tu, wakoment wasikoment I don't care!
Umesema una web eeh huu muda wa kujibizana hapa ungekuwa busy huko kuweka hadithi zako ili uendelee kumake chapaa.
Ila kuendelea kupiga porojo hapa wenye akili watakuona na wewe ni wale wale tu kasoro tarehe.
Me mwenyewe ni kati ya binadamu ambaye sina girl friends wengi. Nikiwahesabu hata 10 hawafiki ila siwezi kuichukulia hii kama ngao ya kujishaua kwa umma as you do (vide your thread)
BTW kila mtu na akili zake bana. Ukihisi huyo mdau wako yuko sawa basi pambana ๐
A good day to you