EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Ngoja tusome mchezo kwanza, maana uzi umeshabadili directionMsapotini Huyo asie na akili akishapata akili mrudi kwangu tuendelee na kutafuta maisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tusome mchezo kwanza, maana uzi umeshabadili directionMsapotini Huyo asie na akili akishapata akili mrudi kwangu tuendelee na kutafuta maisha
Sio you rest your case you are defeated🤕[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Muuza vyupi hakukosea.
You really are a psycho.....Na limiwani lako lile kama fundi wa kuchomelea.
Endelea kufurahisha wanaume seems it's what you do best!!!
I rest my case
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂😂😂Hannah Umaarufu ubaki huku huku JF....Alikosea njia akavamia page ya watu insta, nilimuonea huruma mimi Money Penny dada mwenye duka la chupi mjini ndio kiboko yako hurudii tena .Insta sio JF [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio Yale Yale wanaume wanasemaNgoja tusome mchezo kwanza, maana uzi umeshabadili direction
You wish!Lemme crack the code.
Miaka 63... Chukua 63, 3 ianze 6 ifatie.
Dada una miaka 36.
Ndoa miaka 35. 5-3=2. Upo kwenye ndoa miaka 2 now.
Watukuu 3, wajukuu 9.
9÷3=3
Watoto 5.
5 idadi ya watoto - 3 jibu la Vitukuu/Wajukuu=2
Una WATOTO 2.
Bibi Bomba is equal to Mtoto Bomba
NI HAYO TU KWA LEO Money Penny
Melvine
Kumbe me maarufu JF 😂😂😂 maskini sikujuaHannah Umaarufu ubaki huku huku JF....Alikosea njia akavamia page ya watu insta, nilimuonea huruma mimi Money Penny dada mwenye duka la chupi mjini ndio kiboko yako hurudii tena .Insta sio JF [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Kwa taarifa zako
Zingatia hilo. Hata wanaume wanampenda sana Mia khalifa.
Nimekuja my dear na mie nimejifunza pia
Dada wewe danga, ila kwenye kudanga kwako usitutengenezee mazingira kwamba hatukupendi au hatukusapoti.
Una risiti yangu ya kuonyesha me Danga?!Dada wewe danga, ila kwenye kudanga kwako usitutengenezee mazingira kwamba hatukupendi au hatukusapoti.
So unajua wateja wako ni jinsia gani? Sisi tuache.
How is this possible?!
Haya Rudi usome tena habari hapo kwenye Uzi alafu urudi tena kwenye comment usome wasifu na haters juuMimi nasikia tu Money Penny, Money Penny...nimekimbilia uzi walau nimuone, nimeishia kuona mipasho! Hamuwezagi kutoa wasifu kwanza kabla ya habari!😅
Wanaume humu wamekufanya msemaji wao???Sio you rest your case you are defeated[emoji856]
Yani wanaume wote huku wanakuona stupid kabisa
Pyscho is you unaeingilia magomvi ambayo hata ukiitwa Hutakuwa na cha kusema, sasa nani pyscho, Yani huna akili unajitukana mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani wanawake jaribuni hata kukaa na Baba zenu wawafundishe kuishi na binaadamu wote.
Ulikuja Kwa gia ya mwuza chupi ila sasa watu huku wamekuona mbululaz kama yeye, sasa unaaga why?![emoji849]
Endelea kukaa umtetee basi si umemzaa wewe Huyo mwuza chupi?!
Na Mimi nilijua Tu kuna mahali utakwama
Haya kamsalimie Mlokole feki mwenzio alieshindikana mjini
Ps:
Wanaume WA JF wamesema, wameshakuona watakutafuta Kwa wakati wao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante Kwa compliment ya miwani ma'am, najua huna ndio maana Una hate[emoji23][emoji23]
Karibu SanaNgoja nitie kambi hapa
Haujasoma huko juu wamekuambia kwanini wanakupenda? "Kwa sababu unagawa sana". Sio mimi wamejisemea wenyewe.Una risiti yangu ya kuonyesha me Danga?!
Embu ulete basi hapa mama watu wakuamini
Sana Sana wanakuona unawivu WA kike kike ambao inazidi kumpandisha chati mdau alienifata pm
NI hayo Tu, ukileta prove(risiti) ya Mimi kuwa danga umenimaliza😂😂😂😂
Sasa mmeamini jamani ee, maneno ya mdau?! 50thebe KENZY Smart911 mahondaw kabanga Extrovert sab Kyalow
dudupori