Binti1
JF-Expert Member
- Jul 8, 2013
- 667
- 1,760
Hannah Umaarufu ubaki huku huku JF....Alikosea njia akavamia page ya watu insta, nilimuonea huruma mimi Money Penny dada mwenye duka la chupi mjini ndio kiboko yako hurudii tena .Insta sio JF [emoji23][emoji23][emoji23]Uwe unakuja kujichekesha chekesha kwenye minyegesho ya huyu mdau. Maana anatafuta umaarufu kwa nguvu kulazimisha kuonekana eti tunamchukia ndiyo maana hatucomment.
Sent using Jamii Forums mobile app