Money Penny kwanini unapendwa sana na wanaume na sio wanawake kwenye Jamii Forums?

Money Penny kwanini unapendwa sana na wanaume na sio wanawake kwenye Jamii Forums?

Unajipa umaarufu ambao wala hata hauna.
Na huyo mdau kaja kukujaza tuu upepo huko PM.
Mada zako zimekaa staili Fulani ya kuwavutia wanaume kama sio kuwanyegesha kwahiyo lazima wa comment na kukupenda.
Sasa wanawake ulitaka tucomment nini na wakati targeted readers wa most of your threads ni wanaume?
Tupumzishe tupo bize na Corona.
 
Pumzika mwenyewe karantini anti 🤧 naona Corona imekupanda kichwani 😂😂

Unachokiona Nonsense kwako, kwao ni dawa tena dozi ya Kila siku on demand na kinapendwa na kinaingiza pesa🏃🏃🏃

Asee nanii KENZY SK2016 44mg44 Smart911 G bznes The Most Winner
wale ndege wamefika, njoo Wasome mautuyu Yao
 
Zingatia hilo. Hata wanaume wanampenda sana Mia khalifa.
Sijawazuia wanaume kumpenda MTU but the subject haikuwa Kwa Mia khalifa ilikuwa Kwa money penny🏃🏃🏃🏃🏃 Elewa!!
Khalifa can open discussion about yeye sijamkataza
Si unaona unavyojichanganya mama?! 😂😂😂😂
Akili za mademu wengine bwana NI 🤕
 
[emoji23]
Dada kasema..
Unajipa umaarufu ambao wala hata hauna.
Na huyo mdau kaja kukujaza tuu upepo huko PM.
Mada zako zimekaa staili Fulani ya kuwavutia wanaume kama sio kuwanyegesha kwahiyo lazima wa comment na kukupenda.
Sasa wanawake ulitaka tucomment nini na wakati targeted readers wa most of your threads ni wanaume?
Tupumzishe tupo bize na Corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawazuia wanaume kumpenda MTU but the subject haikuwa Kwa Mia khalifa ilikuwa Kwa money penny🏃🏃🏃🏃🏃 Elewa!!
Khalifa can open discussion about yeye sijamkataza
Si unaona unavyojichanganya mama?! 😂😂😂😂
Akili za mademu wengine bwana NI 🤕
Duuh, Kumbe hata haujaelewa kwanini nimemtaja mia khalifa.😂😂😂😂😂.
Basi ni hivi ukiwa unawanyegesha sana lazima wakupende. Ila wanawake wenzako tunaanzaje kupenda minyegesho yako? Angekuwa ni mwanaume anayejinyegesha hata sisi wanawake tungecomment sana. Hiyo ni nature mama wala hamna mtu anayekuchukia.
 
TUKIACHANA NA MADA MI NISEME TU KARIBU KIUMENI MONEY PENNY WANAUME TUNAPENDANA SANA NA KUSAPOTIANA UKIWA KWENYE COMPANY YETU HAKIKA HUTOJUTA
 
KARIBU KIUMENI MONEY PENNY WANAUME TUNAPENDANA SANA NA KUSAPOTIANA UKIWA KWENYE COMPANY HAKIKA HUTOJUTA
Umeona eee
Wanaume fresh Sana me nafanya NAO KAZI Sana tu na maisha yanasonga
Sometimes I wish ningezaliwaga mwanaume Ila Mungu hakupendaga 😂😂
 
Uwe unakuja kujichekesha chekesha kwenye minyegesho ya huyu mdau. Maana anatafuta umaarufu kwa nguvu kulazimisha kuonekana eti tunamchukia ndiyo maana hatucomment.
Kwanza me staki hata ucomment, maana Una comment nonsense na kujiaibisha
umaarufu sihitaji anti nina maisha ya kunitosha nyumbani kwangu labda kama wewe unataka attention kwenye Uzi huu wakufahamu😂😂😂 ndio technique za kike izo
gh hussa
Ndio Yale Yale ulisema best njoo uone sasa
 
Back
Top Bottom