Hata ingekuwa wapi sina mda wa kufatilia upuuzi wewe si ulikuwa unanitag uliniunga huko pm kwenye maujinga yako nikajiondoa sikuishia hapo na nikakukomesha kunitag kila unapoanzisha mada zako.Hii ndo shida, hamna MTU aloongelea YouTube hapa πππ kumbe hata kusoma hajui anataka ugomvi na Mimiπππ
MDAU popote ulipo najua unafuatilia Kwa karibu,tuonane kesho Mlimani City nikupe incentive yako
Sio Kwa trafficking ya leo boss
Washarika viewers laki 8 kwenye website mpaka sasa
Duh kama uchawi vile kumbe NI hatred zimezaa matundaππ
Sikia kinanda hiki weee kwanini tu"Alafu wameenda kumtafuta lemutuz wap sijui huko kusema ananijua?? πππππ
Alete basi iyo picha ya uchi wangu wenye Sura yangu kamili tuone, mpaka sasa masaa yashapita hajaleta kitu sababu Hanaππππ
" porojo zao tu.
Lete risiti au prove ya kutagiwaHata ingekuwa wapi sina mda wa kufatilia upuuzi wewe si ulikuwa unanitag uliniunga huko pm kwenye maujinga yako nikajiondoa sikuishia hapo na nikakukomesha kunitag kila unapoanzisha mada zako.
Hamna kitu maskini wanatia hurumaππππ"Alafu wameenda kumtafuta lemutuz wap sijui huko kusema ananijua?? πππππ
Alete basi iyo picha ya uchi wangu wenye Sura yangu kamili tuone, mpaka sasa masaa yashapita hajaleta kitu sababu Hanaππππ
" porojo zao tu.
MDAU popote ulipo najua unafuatilia Kwa karibu,tuonane kesho Mlimani City nikupe incentive yakoNimeshapitia insta. Una potential ya kua maarufu.. nakushauri invest kwenye simu nzuri. Hiyo unayotumia sasa inafanya video zako zionekane "cheap" na msusi wa nywele muhame aisee sio kwa ma weaving yale.
Sent From Galaxy S9
Woyoooooooo π₯π₯π₯Samahan dada hvi akitokea mtu akasema umenunua ugomvi atakua amekosea ?
Fatilia comments zilipoanziaSamahan dada hvi akitokea mtu akasema umenunua ugomvi atakua amekosea ? Samhani lkni
Umeshasubscribe lkn[emoji1]Unajua nakupenda Hadi mbele sioni sometime! Badala nione kilicho mbele nakuona wewe[emoji6]
Usiingilie huu mualiko baby wasije jirani wakaona nnachokioanaga[emoji12]
Wanaume humu wamekufanya msemaji wao???
I was only stating facts....hujanishinda ila naona tu unatatizo sehemu....
Ungekua unajimudu ungepambana na yule dada hadi mwisho sio kutoa lame excuses ooooh nawaheshimu wazazi wake blah blah....
Wivu??Miwani???? Darling I'm too confident I don't need shades to cover my face...
Ooooh ukimaliza kuuza "hadisi" zako nitafute nikupe a diet program for free looks like u need one [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nilivoona picha nkajua kibuyu cha Mshana kumbe the hottest lady in JF
Byeeee Felicia
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]nikiitumia fursa hii ya kaugomvi huu naweza faidiUmri mkubwa akili kisoda hujitambui umekazana na kuandika "Wanawake bwana" acha dharau.
Sana mpendwa πππ[emoji23][emoji23][emoji23]nikiitumia fursa hii ya kaugomvi huu naweza faidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwacheni jamani, huwa hatukamiliki, pamoja na mapungufu yake lakini Money Penny ana roho nzuri mnoSana mpendwa [emoji1][emoji1][emoji1]
πππππππππ AiseeπππMwacheni jamani, huwa hatukamiliki, pamoja na mapungufu yake lakini Money Penny ana roho nzuri mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutaongea chumbani mengine π
Pamoja mpendwaAhaa yes nimeona. okey [emoji56]
Yes[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] Aisee[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwacheni jamani, huwa hatukamiliki, pamoja na mapungufu yake lakini Money Penny ana roho nzuri mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua kwamba bibie ana roho nzuri nami namkubali sanaMwacheni jamani, huwa hatukamiliki, pamoja na mapungufu yake lakini Money Penny ana roho nzuri mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sio lazima agawe, huyu huwa anatofautiana na watu lakini haweki rohoni sanaAnagawa sana k au!