Money Penny kwanini unapendwa sana na wanaume na sio wanawake kwenye Jamii Forums?

Money Penny kwanini unapendwa sana na wanaume na sio wanawake kwenye Jamii Forums?

Hii ndo shida, hamna MTU aloongelea YouTube hapa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kumbe hata kusoma hajui anataka ugomvi na MimiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
MDAU popote ulipo najua unafuatilia Kwa karibu,tuonane kesho Mlimani City nikupe incentive yako
Sio Kwa trafficking ya leo boss
Washarika viewers laki 8 kwenye website mpaka sasa
Duh kama uchawi vile kumbe NI hatred zimezaa matundaπŸ˜‚πŸ˜‚
Hata ingekuwa wapi sina mda wa kufatilia upuuzi wewe si ulikuwa unanitag uliniunga huko pm kwenye maujinga yako nikajiondoa sikuishia hapo na nikakukomesha kunitag kila unapoanzisha mada zako.
 
"Alafu wameenda kumtafuta lemutuz wap sijui huko kusema ananijua?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Alete basi iyo picha ya uchi wangu wenye Sura yangu kamili tuone, mpaka sasa masaa yashapita hajaleta kitu sababu HanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

" porojo zao tu.
Sikia kinanda hiki weee kwanini tu
 
Hata ingekuwa wapi sina mda wa kufatilia upuuzi wewe si ulikuwa unanitag uliniunga huko pm kwenye maujinga yako nikajiondoa sikuishia hapo na nikakukomesha kunitag kila unapoanzisha mada zako.
Lete risiti au prove ya kutagiwa
Me sikujui anti usitafute attentionπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Eti pmπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa hivi umeshindwa unaanza kuleta sababu na kupoa poaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hela mama inatafutwa hapa kihalali sio Kwa kujiuza kama mnavyojiuza nyie

MDAU popote ulipo najua unafuatilia Kwa karibu,tuonane kesho Mlimani City nikupe incentive yako
Sio Kwa trafficking ya leo boss
Washarika viewers laki 8 kwenye website mpaka sasa
Duh kama uchawi vile kumbe NI hatred zimezaa matundaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
"Alafu wameenda kumtafuta lemutuz wap sijui huko kusema ananijua?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Alete basi iyo picha ya uchi wangu wenye Sura yangu kamili tuone, mpaka sasa masaa yashapita hajaleta kitu sababu HanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

" porojo zao tu.
Hamna kitu maskini wanatia hurumaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Anywho poleni wanaume, ndio maisha Mungu akupe mwanamke mwenye mindset ya kiume utasogea ndugu yangu
 
Nimeshapitia insta. Una potential ya kua maarufu.. nakushauri invest kwenye simu nzuri. Hiyo unayotumia sasa inafanya video zako zionekane "cheap" na msusi wa nywele muhame aisee sio kwa ma weaving yale.

Sent From Galaxy S9
MDAU popote ulipo najua unafuatilia Kwa karibu,tuonane kesho Mlimani City nikupe incentive yako
Sio Kwa trafficking ya leo boss
Washafika viewers laki 8 kwenye website mpaka sasa
Duh kama uchawi vile kumbe NI hatred zimezaa matundaπŸ˜‚πŸ˜‚
Baada ya kuona napepea na views sasa waNataka kuinvest kwenye nywele na msusi na cameraπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ oh Lord am killing them today
 
Samahan dada hvi akitokea mtu akasema umenunua ugomvi atakua amekosea ?
Woyoooooooo πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Wanaume wenye uume wamefika πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
Naomba nisaidie bwana maana me wamegoma kunielewa kabisa
Alafu msaidie kuandika pia, sasa uchuzi NI nini??πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Muuza chupi ni Cassie au?
Wanaume humu wamekufanya msemaji wao???
I was only stating facts....hujanishinda ila naona tu unatatizo sehemu....
Ungekua unajimudu ungepambana na yule dada hadi mwisho sio kutoa lame excuses ooooh nawaheshimu wazazi wake blah blah....

Wivu??Miwani???? Darling I'm too confident I don't need shades to cover my face...
Ooooh ukimaliza kuuza "hadisi" zako nitafute nikupe a diet program for free looks like u need one [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nilivoona picha nkajua kibuyu cha Mshana kumbe the hottest lady in JF
Byeeee Felicia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom