Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
-
- #401
Hata jinsi wenzio wanavyoingiza hela hujui maskiniπππ kwanini ujue labda?! Sio Kwa roho ulionayo, mbaya na hovyoEti umefika kutuingizia hela wee na Corona hii upate wapi pesa πππ
Nipo babe..Ni vile tu tunapishana ..ππ nipM bathiNimeacha Bebe, halafu nilikuwa sikuoni siku mbili hizi au ni mimi ndiyo nilikuwa sipiti unakopita.
Usingeniqoute hapa nilikuwa nimepanga baadaye nikuPM
Binti [emoji23][emoji23] hairuhusiwi kupiga namna hii, ni dhambiDarling I have a job nzuri tu. I earn a lot better...Way better than a cheap story writer!!
FYI huyo muuza chupi sina hata undugu nae. To me she is a stranger just as your are. Ila ulikosa tu ustaarabu kwenda kutukana kwenye page yake kisa kamuajiri mwanaume alokukataa . Whatever her life is atleast she is classy and making an honest living out of it.... while you are here making a fool out of your sorry self .Shame!!
Did she say that guy ni Tax consultant na proffesional Accountant?? No wonder he couldn't keep up with you coz kichwa kimejaa mapenzi tu [emoji23]akakupiga chini. See your life....late 30's, desperate and seeking attention from starngers mitandaoni .Get a life b@&#
Yani kichaa chako wewe kwetu sie burudani....endelea
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa loveNipo babe..Ni vile tu tunapishana ..ππ nipM bathi
Asante Kwa kuniingizia hela za viewersπππEti sura kama tufe jamanii wee mdau umenichekesha leoππππAsante Money Penny kwa uzi wako πππ
Wanaenda kuniona kama nafanana NAOπππSema we manzi nawe punguza kutafuta attention.
Kila uzi za kijinga tu sijawahi ona uzi za maana kwako.
Huko youtube sijui hata wanafuata nini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hili neno maana yake nini?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]kwakweli tumefurahi baada ya kuchoshwa na habar za corona vs siasa.
Anko me sijawahi kutafuta attention unless nyuzi nazoandika zimekupa attentionSema we manzi nawe punguza kutafuta attention.
Kila uzi za kijinga tu sijawahi ona uzi za maana kwako.
Huko youtube sijui hata wanafuata nini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya asanteni na nyie Kwa kunipa viewers laki 8 leo[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]kwakweli tumefurahi baada ya kuchoshwa na habar za corona vs siasa.
Money penny tunashukuru kwa uzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani anti as long as mimi na Mdau tumekupeleka tulikokuwa tunataka na umefika na kutuingizia hela, Sisi hatuna la ziada zaidi ya kukushukuru
MDAU popote ulipo najua unafuatilia Kwa karibu,tuonane kesho Mlimani City nikupe incentive yako
Sio Kwa trafficking ya leo boss
Washafika viewers laki 8 kwenye website mpaka sasa[emoji91][emoji173][emoji123]
KAZI ya kuweka picha NI yako not mineπππ
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]kwakweli tumefurahi baada ya kuchoshwa na habar za corona vs siasa.
Money penny tunashukuru kwa uzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akiweka nina zawadi yakeπππ
Hapana sio kichaa
Mdau sasa wamekuja kubarikiπππ maskiniπππ