Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #401
Hata jinsi wenzio wanavyoingiza hela hujui maskini😂😂😂 kwanini ujue labda?! Sio Kwa roho ulionayo, mbaya na hovyoEti umefika kutuingizia hela wee na Corona hii upate wapi pesa 😁😁😁
Yani anti as long as mimi na Mdau tumekupeleka tulikokuwa tunataka na umefika na kutuingizia hela, Sisi hatuna la ziada zaidi ya kukushukuru
MDAU popote ulipo najua unafuatilia Kwa karibu,tuonane kesho Mlimani City nikupe incentive yako
Sio Kwa trafficking ya leo boss
Washafika viewers laki 8 kwenye website mpaka sasa🔥❤💪