Money Penny kwanini unapendwa sana na wanaume na sio wanawake kwenye Jamii Forums?

Money Penny kwanini unapendwa sana na wanaume na sio wanawake kwenye Jamii Forums?

Eti umefika kutuingizia hela wee na Corona hii upate wapi pesa 😁😁😁
Hata jinsi wenzio wanavyoingiza hela hujui maskini😂😂😂 kwanini ujue labda?! Sio Kwa roho ulionayo, mbaya na hovyo
Yani anti as long as mimi na Mdau tumekupeleka tulikokuwa tunataka na umefika na kutuingizia hela, Sisi hatuna la ziada zaidi ya kukushukuru

MDAU popote ulipo najua unafuatilia Kwa karibu,tuonane kesho Mlimani City nikupe incentive yako
Sio Kwa trafficking ya leo boss
Washafika viewers laki 8 kwenye website mpaka sasa🔥❤💪
 
Darling I have a job nzuri tu. I earn a lot better...Way better than a cheap story writer!!
FYI huyo muuza chupi sina hata undugu nae. To me she is a stranger just as your are. Ila ulikosa tu ustaarabu kwenda kutukana kwenye page yake kisa kamuajiri mwanaume alokukataa . Whatever her life is atleast she is classy and making an honest living out of it.... while you are here making a fool out of your sorry self .Shame!!
Did she say that guy ni Tax consultant na proffesional Accountant?? No wonder he couldn't keep up with you coz kichwa kimejaa mapenzi tu [emoji23]akakupiga chini. See your life....late 30's, desperate and seeking attention from starngers mitandaoni .Get a life b@&#
Yani kichaa chako wewe kwetu sie burudani....endelea

Sent using Jamii Forums mobile app
Binti [emoji23][emoji23] hairuhusiwi kupiga namna hii, ni dhambi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti sura kama tufe jamanii wee mdau umenichekesha leo😄😄😄😄Asante Money Penny kwa uzi wako 😁😁😁
Asante Kwa kuniingizia hela za viewers😂😂😂

MDAU popote ulipo najua unafuatilia Kwa karibu,tuonane kesho Mlimani City nikupe incentive yako
Sio Kwa trafficking ya leo boss
Washafika viewers laki 8 kwenye website mpaka sasa🔥❤💪
 
Sema we manzi nawe punguza kutafuta attention.
Kila uzi za kijinga tu sijawahi ona uzi za maana kwako.
Huko youtube sijui hata wanafuata nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaenda kuniona kama nafanana NAO😂😂😂

Yani as long as mimi na Mdau tumewapeleka tulikokuwa tunataka na wamefika na kutuingizia hela, Sisi hatuna la ziada zaidi ya kukushukuru

MDAU popote ulipo najua unafuatilia Kwa karibu,tuonane kesho Mlimani City nikupe incentive yako
Sio Kwa trafficking ya leo boss
Washafika viewers laki 8 kwenye website mpaka sasa🔥❤💪
 
Sema we manzi nawe punguza kutafuta attention.
Kila uzi za kijinga tu sijawahi ona uzi za maana kwako.
Huko youtube sijui hata wanafuata nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anko me sijawahi kutafuta attention unless nyuzi nazoandika zimekupa attention

Usichangante maji na mafuta, sina label kwenye description yangu inayosemwa am looking for attention unless umeiona ulete hapa

Yani as long as mimi na Mdau tumekupeleka tulikokuwa tunataka na umefika na kutuingizia hela, Sisi hatuna la ziada zaidi ya kukushukuru

MDAU popote ulipo najua unafuatilia Kwa karibu,tuonane kesho Mlimani City nikupe incentive yako
Sio Kwa trafficking ya leo boss
Washafika viewers laki 8 kwenye website mpaka sasa🔥❤💪
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]kwakweli tumefurahi baada ya kuchoshwa na habar za corona vs siasa.

Money penny tunashukuru kwa uzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya asanteni na nyie Kwa kunipa viewers laki 8 leo
Hela itakayoingia itakuwa Nono Sana
MDAU popote ulipo najua unafuatilia Kwa karibu,tuonane kesho Mlimani City nikupe incentive yako
Sio Kwa trafficking ya leo boss
Washafika viewers laki 8 kwenye website mpaka sasa🔥❤💪
 
Yani anti as long as mimi na Mdau tumekupeleka tulikokuwa tunataka na umefika na kutuingizia hela, Sisi hatuna la ziada zaidi ya kukushukuru

MDAU popote ulipo najua unafuatilia Kwa karibu,tuonane kesho Mlimani City nikupe incentive yako
Sio Kwa trafficking ya leo boss
Washafika viewers laki 8 kwenye website mpaka sasa[emoji91][emoji173][emoji123]

Weka picha nione hao viewers laki 8

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka picha nione hao viewers laki 8

Sent using Jamii Forums mobile app
KAZI ya kuweka picha NI yako not mine😂😂😂
Kwan picha za Kwanza nikiweka Mimi?!

MDAU popote ulipo najua unafuatilia Kwa karibu,tuonane kesho Mlimani City nikupe incentive yako
Sio Kwa trafficking ya leo boss
Washafika viewers laki 8 kwenye website mpaka sasa🔥❤💪
 
Abarikiwee money penny

Sent using Jamii Forums mobile app
Mdau sasa wamekuja kubariki😂😂😂 maskini😂😂😂

MDAU popote ulipo najua unafuatilia Kwa karibu,tuonane kesho Mlimani City nikupe incentive yako
Sio Kwa trafficking ya leo boss
Washafika viewers laki 8 kwenye website mpaka sasa🔥❤💪
 
Back
Top Bottom