Money Penny kwanini unapendwa sana na wanaume na sio wanawake kwenye Jamii Forums?

Big up sana my "Bibi bomba"
Umenifurahisha sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui kwann nmejikuta nakuonea huruma, dah unajisifu sana mkuu punguza hiyo, acha watu wakusifu

Sent using Gun Trigger
 
mwanzisha mada mbona hana kosa lolote
aliyo andika yote ni kweli na sahihi
ana point ya msingi
mapovu ya nini?

"sipendi kuombwa hela"
Nashangaa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ndio maana nasema akili za wanaume NI za wanaume tu
 
Sijui kwann nmejikuta nakuonea huruma, dah unajisifu sana mkuu punguza hiyo, acha watu wakusifu

Sent using Gun Trigger
Aisee๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
As long as nimeshakamata Ur attention me sina neno, naingiza fweza
Hakuna aliejisifia hapo hio NI profile yangu kama walizonazo wengine, umenunua umecheka hainihusu๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿ’ช Ila sio mbaya hamnaga mwanaume anaependaga a confident woman!

Yani as long as mimi na Mdau tumekupeleka tulikokuwa tunataka na umefika na kutuingizia hela, Sisi hatuna la ziada zaidi ya kukushukuru

MDAU popote ulipo najua unafuatilia Kwa karibu,tuonane leo Mlimani City nikupe incentive yako
Sio Kwa trafficking ya leo boss
Washafika viewers laki 8 kwenye website mpaka sasa๐Ÿ”ฅโค๐Ÿ’ช
Duh kama uchawi vile kumbe NI hatred za wanawake zimezaa matunda๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimecheka sana
Hamiui maoney penny haahhaah

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani as long as mimi na Mdau tumekupeleka tulikokuwa tunataka na umefika na kutuingizia hela, Sisi hatuna la ziada zaidi ya kukushukuru

MDAU popote ulipo najua unafuatilia Kwa karibu,usikose leo Mlimani City nikupe incentive yako
Sio Kwa trafficking ya Jana na leo boss
Washafika viewers laki 8 kwenye website mpaka sasa๐Ÿ”ฅโค๏ธ๐Ÿ’ช
Duh kama uchawi vile kumbe NI hatred za wanawake zimezaa matunda๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Nilimuweka kitambo sana....
Nilikuwa nakereka na mada zake, sijui kwann leo imetokea hii mada on top.
Yani as long as mimi na Mdau tumekupeleka tulikokuwa tunataka na umefika na kutuingizia hela, Sisi hatuna la ziada zaidi ya kukushukuru

MDAU popote ulipo najua unafuatilia Kwa karibu,usikose leo Mlimani City nikupe incentive yako
Sio Kwa trafficking ya Jana na leo boss
Washafika viewers laki 9 kwenye website mpaka sasa๐Ÿ”ฅโค๏ธ๐Ÿ’ช
Duh kama uchawi vile kumbe NI hatred za wanawake zimezaa matunda๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23],,, ndo maana siku hizi wakina naniliu wapo kimyaaa,, Simba umeamua hutaki fitna

Sent using Jamii Forums mobile app
Woyoooooooo ๐Ÿ”ฅ hapa KAZI Tu ๐Ÿ’ช
Mpaka sasa hivi NI kumi bila
Nawashukuru marefa Kwa mrejesho๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Simba OYee๐Ÿ’ช๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ