TAARIFA ZINAZOENDELEA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII KUHUSU KAULI YA WAZIRI MKUU KUHUSU LOLIONDO ZAKUPUUZWA
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mongella amesema tuendelee kuwapuuza wale wote wanaopotosha kuhusu kauli ya Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa kuhusu sakata la Loliondo
"Kauli ya Waziri Mkuu ilitoka kabla ya vurugu kutokea Loliondo" - Mkuu wa Mkoa Arusha Mhe. Mongella
Pia amesisitiza na kuwaomba Watanzania kuendelee kuwapuuza wale wote wanaotumia kauli ya Waziri Mkuu kwa nia ovu na maslahi yao binafsi.