MONGELA: Kauli ya Waziri Mkuu ilitoka kabla ya Vurugu kutokea Loliondo

Uyo waziri mkuu tangu alivyosema Magufuli anachapa kazi Ikulu wakati yupo wodini anapambania uhai, aaminiki tena
 
Daima ccm huwa hawanaga akili kazi yao kutetea ugali tu.
 
Huyo mkuu wa Mkoa aache kutufundisha cha kufanya, sisi tunajua kila kitu kinachoendelea Loliondo.

Tuliambiwa na mitandao kuwa Magu amekufa, waziri mkuu akasema Magu yuko hai na anachapa kazi Ikulu, baada ya siku chache tukapewa mzoga wetu tukauzike Chato!

Juzi mitandao ilituambia kuwa kuna uvunjifu mkubwa wa amani unaendelea Loliondo, waziri mkuu akasema Loliondo hakuna tatizo lolote na kumejaa amani tele, jana tumepewa mzoga wa polisi wetu aliyeuwawa huko Loliondo nao tukauzike!
 
Hao wanaosema waziri mkuu wanamuonea bure tu

Waziri anasema kile anachoambiwa na hangaya!

Kwani hatujui kama hangaya ameuza mbuga kwa waoman?

Hilo li Hangaya pia limemuambia aseme Loliondo hakuna vurugu ilhali kuna vurugu?
 
Nilijua tu Mh. PM hawezi kuongopa hata kidogo
Sasa tuzipuuze taarifa za upotoshaji zinazoendelea mitandaoni
 
Hao wanaosema waziri mkuu wanamuonea bure tu

Waziri anasema kile anachoambiwa na hangaya!

Kwani hatujui kama hangaya ameuza mbuga kwa waoman?

Serikali ya chifu hangaya itapelekea Mambo mengi ya ajabu mbeleni.
 
Nilijua tu Mh. PM hawezi kuongopa hata kidogo
Sasa tuzipuuze taarifa za upotoshaji zinazoendelea mitandaoni

Mkuu wa Mkoa ana mamlaka kuliko waziri Mkuu?. Waziri mkuu Ni muongo na ana tabia za uongo.
 
Namwamini Waziri Mkuu vilevile Namwamini Mkuu wa Mkoa

Saiamini waliyotamka

Naamini Wananchi kutamka 'Tumechoshwa'

Naamini Waziri Mkuu na Mkuu wa mkoa pamoja na chama chao... "HAWACHAGULIKI"

Naamini Wananchi watafanya lile lifanywalo kila baada ya miaka mitano, nalo ni "KUWANG'OA kwa kura 2025
 
Hao wanaosema waziri mkuu wanamuonea bure tu

Waziri anasema kile anachoambiwa na hangaya!

Kwani hatujui kama hangaya ameuza mbuga kwa waoman?
Kumbe wewe ni mpumbavu kiasi hiki
 
Hao wanaosema waziri mkuu wanamuonea bure tu

Waziri anasema kile anachoambiwa na hangaya!

Kwani hatujui kama hangaya ameuza mbuga kwa waoman?
Aisee. Leo Samia unamwita Hangaya?. Utafukuzwa kwenye Corridor za Lumumba wewe!!
 
Kuwa muongo inahitaji uwe na akili kubwa, tatizo la hao mazuzu ni kudhani wana akili kuliko wengine.
 
Naona mnalazimisha kubalance equation.
 
Serekali itendee haki,kuna muda mwingine ubabe haulipi mbele ya haki!!!
 
Kauli ya Waziri Mkuu ilitoka saa ngapi na vurugu zilitokea saa ngapi? Wewe ni muongo kuliko baba yako iwapo humjui. Lowassa akiwa waxiri mkuu , nawe ukiwa mkuu wa wilaya ya kigoma alitaka kukufukuza kaxi kwa sabsbu za kutaka kumdanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…