Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu nimekusikia..maana nilikunyima usingzi
Afadhali
Yote haya ni matatzo ya kuanzia ujanja ukubwan, unawaona wote uliowakuta ni wajinga..New style JF..... lols
Mambo!
Nawaandikia kuwaaga wana MMU wenzangu.
Nilikuwa likizo ya mwenzi mmoja lkn kuanzia kesho natakiwa kuendelea na kazi kama kawaida, hivyo sitakuwa na nafasi kuuingia humu Mara kwa mara hii ni kutokana na nature ya kazi yangu.
Ntawamisi sana but nikipata chance ntakuwa nachukulia
Pole na samahani sana kwa wale niliowakwaza hasa wale niliowajibu vbya, I'm real sorry.
Asante kwa marafiki wapya pia.
Kama kuna lolote tushirikishane pia.
Ahsanteni wooooote
Ongea kwa sauti kama mwanaume wewe mbona una nong'ona kama ....Yote haya ni matatzo ya kuanzia ujanja ukubwan, unawaona wote uliowakuta ni wajinga..
Hayo ni sawa na kujifunzia ngono ukubwan unaweza kudhan ww ndio mkataji kiuno zaid ya wengne. Ni kusamehe tu akikua ataacha
Sasa mbona mlikuja wengi...Si nimekuuzia wewe au umesahau?!!!!