Moniccca anawaaga jamani

Moniccca anawaaga jamani

Mambo!

Nawaandikia kuwaaga wana MMU wenzangu.
Nilikuwa likizo ya mwenzi mmoja lkn kuanzia kesho natakiwa kuendelea na kazi kama kawaida, hivyo sitakuwa na nafasi kuuingia humu Mara kwa mara hii ni kutokana na nature ya kazi yangu.

Ntawamisi sana but nikipata chance ntakuwa nachukulia

Pole na samahani sana kwa wale niliowakwaza hasa wale niliowajibu vbya, I'm real sorry.
Asante kwa marafiki wapya pia.
Kama kuna lolote tushirikishane pia.
Ahsanteni wooooote
Tutamis story za kusadikika
 
Ilikuwa kama doz ya Cipro... Asubuhi na jioni lazima tupate chai ya moniccca
 
Hahaha. I remember when Ashton Kutcher used to say punk'd wouldn't be back every end of the season, but...
 
Mambo!

Nawaandikia kuwaaga wana MMU wenzangu.
Nilikuwa likizo ya mwenzi mmoja lkn kuanzia kesho natakiwa kuendelea na kazi kama kawaida, hivyo sitakuwa na nafasi kuuingia humu Mara kwa mara hii ni kutokana na nature ya kazi yangu
.

Ntawamisi sana but nikipata chance ntakuwa nachukulia

Pole na samahani sana kwa wale niliowakwaza hasa wale niliowajibu vbya, I'm real sorry.
Asante kwa marafiki wapya pia.
Kama kuna lolote tushirikishane pia.
Ahsanteni wooooote
I will miss u MONIE,, Kazi njeymah,,,
 
Mambo!

Nawaandikia kuwaaga wana MMU wenzangu.
Nilikuwa likizo ya mwenzi mmoja lkn kuanzia kesho natakiwa kuendelea na kazi kama kawaida, hivyo sitakuwa na nafasi kuuingia humu Mara kwa mara hii ni kutokana na nature ya kazi yangu.

Ntawamisi sana but nikipata chance ntakuwa nachukulia

Pole na samahani sana kwa wale niliowakwaza hasa wale niliowajibu vbya, I'm real sorry.
Asante kwa marafiki wapya pia.
Kama kuna lolote tushirikishane pia.
Ahsanteni wooooote

Bora uondoke..ikiezekana usirudi ubaki huko huko..
 
Back
Top Bottom