Moniccca anawaaga jamani

Moniccca anawaaga jamani

Tupia mkuu!
images-2.jpeg
 
Kama mtu ana kubore why unasoma comments zake, haya ni maujinga... We can't be serious all the time. Wakati mwingine topics ambazo zinapunguza stress zinahitajika..
 
Kama mtu ana kubore why unasoma comments zake, haya ni maujinga... We can't be serious all the time. Wakati mwingine topics ambazo zinapunguza stress zinahitajika..

We unataka kusoma za wenzako tu, weka poat za kutoa stress pia
 
Moniccca mm si house boi wako tuliozaa mtoto anafanana na mm, sasa ukiwa busy so hata mshkaji nae anapewa likizo ya dyudyu
 
Jf ukija na u-much know unaaga mwenyeweeee.....halafu hongereni wavulana mlioko huko nyuma ya keyboard kwa kuwalaluwa ilivyo na kusepa hawa wanaotafuta kujulikana jf...ndio maana wengine wanaishia kulia lia na kuaga humu...endelezeni sebene hadi barabara ibaki tambarareee
 
Tatzo lako umeanza kutumia smartphone ulivyokuja kwa mjomba na ulivyoona Kuna jf na ulivyojiunga ukadhan ww pekee ndio unajua kupost..
Sio kosa lako,, walikuwepo akina @albosthnus, @mpigamsuli, wote hao walikuwa na vituko zaid yako lakn mpaka leo walikopotelea hawajulikani hvyo hata ww tunajua tatzo lako, tunajua ukirudi kijijin kwenu huku ukitumia simu ya aitel ya tochi na kwenda kuchaji kwenye solar ya mwenyekiti wa mtaa hapo ndio mwisho wa kuiona Id yako humu. Wakat utasema tu tusubir kama mm mwongo
Nimechoka sana..hakuna shida..usilolijua....
 
Hivi Yule aliyeaga Jana hajarejea Na ID mpya??
 
Back
Top Bottom