Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhali, Na usirudi tena Mb** wewe. ulikuwa unani-bore sana na stori zako.
Tupia mkuu!
Mbona naona boxer za D&G teh teh
Si kavurugwa mkuu? Kwani wewe unaona huyo demu zimo? Unawezaje kuanzisha Uzi eti 'shahawa za mume wangu zinaniunguza' K'?Mbona naona boxer za D&G teh teh
Kama mtu ana kubore why unasoma comments zake, haya ni maujinga... We can't be serious all the time. Wakati mwingine topics ambazo zinapunguza stress zinahitajika..
Upoooooo kweli??New style JF..... lols
monica lover lover!Nani huyo?
Niweke nini mkuu.....We unataka kusoma za wenzako tu, weka poat za kutoa stress pia
Nimechoka sana..hakuna shida..usilolijua....Tatzo lako umeanza kutumia smartphone ulivyokuja kwa mjomba na ulivyoona Kuna jf na ulivyojiunga ukadhan ww pekee ndio unajua kupost..
Sio kosa lako,, walikuwepo akina @albosthnus, @mpigamsuli, wote hao walikuwa na vituko zaid yako lakn mpaka leo walikopotelea hawajulikani hvyo hata ww tunajua tatzo lako, tunajua ukirudi kijijin kwenu huku ukitumia simu ya aitel ya tochi na kwenda kuchaji kwenye solar ya mwenyekiti wa mtaa hapo ndio mwisho wa kuiona Id yako humu. Wakat utasema tu tusubir kama mm mwongo