strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,921
- 3,308
Haya safari njema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka picha yake nikuwekee hapa?Watu bhanah! Heading mm nikakimbilia nikijua umetusuprise kwa picha yako......aaaagh WTF
Tutamis story za kusadikikaMambo!
Nawaandikia kuwaaga wana MMU wenzangu.
Nilikuwa likizo ya mwenzi mmoja lkn kuanzia kesho natakiwa kuendelea na kazi kama kawaida, hivyo sitakuwa na nafasi kuuingia humu Mara kwa mara hii ni kutokana na nature ya kazi yangu.
Ntawamisi sana but nikipata chance ntakuwa nachukulia
Pole na samahani sana kwa wale niliowakwaza hasa wale niliowajibu vbya, I'm real sorry.
Asante kwa marafiki wapya pia.
Kama kuna lolote tushirikishane pia.
Ahsanteni wooooote
Tupia mkuu!Unataka picha yake nikuwekee hapa?
Achia bathi hata ka stori katam cha kutuaga shem!Sasa mtapumzika kbsa
Basi kaka akikufanyia ka sapraiz kengine uck usiache kutushirikisha au kuomba ushauri..ci wajua kuagana ndo unajua umuhim wa mtu shem!Sina kbsa nimekaukiwa
Kila mtu akiaga na kupiga hodi patatosha kweli?Wewe tu na akili zako
Asante kwa kukubali hilo shem lakeHahahahaha! Usijali
I will miss u MONIE,, Kazi njeymah,,,Mambo!
Nawaandikia kuwaaga wana MMU wenzangu.
Nilikuwa likizo ya mwenzi mmoja lkn kuanzia kesho natakiwa kuendelea na kazi kama kawaida, hivyo sitakuwa na nafasi kuuingia humu Mara kwa mara hii ni kutokana na nature ya kazi yangu
.
Ntawamisi sana but nikipata chance ntakuwa nachukulia
Pole na samahani sana kwa wale niliowakwaza hasa wale niliowajibu vbya, I'm real sorry.
Asante kwa marafiki wapya pia.
Kama kuna lolote tushirikishane pia.
Ahsanteni wooooote
Nyiooooooooooooooo nimeshategesha dushe njoo unikune basiKwann kinakuuma au unawashwa wahitaji kukununwaa?
Mambo!