Ulitaka asiajiriwe? Mbona watu wengi wanaajiriwa kabla ya graduation kwa kutumia matokeo ya miaka mitatu ya nyuma?Mussa Magufuli ni mdogo wake na JP Magufuli ambaye aliuziwa nyumba ya serikali na kaka yake mwezi mmoja baada ya kumaliza chuo kikuu. Pia aliajiriwa na serikali akiwa bado hajahitimu chuo kikuu bila diploma wala certificate. Huyu ndio muadilifu mnayetaka apewe ikulu
Source: Gazeti Rai Novemba 7, 2008
Mmmh....kweli kama tunapima uadilifu basi na tuongelee mmiliki wa majengo pacha ya "Richmond tower "yaliopo mjini Dar es salaam
Unalipwa kiasi gani na lowasa umekurupuka huko kuja kupost pumba inamaana watu wote waliouziwa nyumba ni wadogo zake Mh rais magufuli au?
Za kuambiwa changanya na za kwako
Ulitaka asiajiriwe? Mbona watu wengi wanaajiriwa kabla ya graduation kwa kutumia matokeo ya miaka mitatu ya nyuma?
Nilipita juzi kati naenda Kampala na basi la Friends nikakuta taa za kuongozea magari huku mji wa Chato wanaomili gari hawafiki hata 15
Kuna ile aliyomuuzia girl friend wake ambae hakua mtumishi wa umma, wamezaa nae tu akamuuzia nyumba ya serikali wakati masharti yalitaka wauziwe senior civil servants.
Nyumba ya bilioni 1.5 akamuuzia girl friend wake milioni 22. Nyumba ya bilioni moja akamuuzia rafiki yake Hosea wa Takukuru milioni 52.
Alafu huyo mdogo wake alikua wizara ya maliasili na utalii, mwaka jana magufuri akamhamishia wizara ya ujenzi bila kufuata utaratibu huku magufuri mwenyewe akibeba makalabrasha kwenda utumishi kushughulikia uhamisho na kutisha wafanyakazi wa utumishi wamhamishe mdogo wake kwa nguvu.
Ni wenye iq ya 20 tu ndio wanaweza kumsapoti magufuri, yaani mataahira.
Mkuu nipo TZ hihii ila hii sijapata isikia. Taa zipo kijijini???
Kweli ukishangaa ta Mussa....
Ujue hapa tuna wezi wawili wa Magari, magufuli na lowassa, sasa magufuli yeye anaiba side mirror, wheelcap, powerwindor nk,lowassa sasa yeye anaiba gari Zimaa! hapo sasa yupi mwenye afadhali? maana ni hao wawili lazima mmoja aende ikulu ,hatuna jinsi hivyo angalau tumpe mwizi mdokozi hizo sidemirror tutanunua,kuliko gari lote liibiwe asee! au unasemaje?
Ujue hapa tuna wezi wawili wa Magari, magufuli na lowassa, sasa magufuli yeye anaiba side mirror, wheelcap, powerwindor nk,lowassa sasa yeye anaiba gari Zimaa! hapo sasa yupi mwenye afadhali? maana ni hao wawili lazima mmoja aende ikulu ,hatuna jinsi hivyo angalau tumpe mwizi mdokozi hizo sidemirror tutanunua,kuliko gari lote liibiwe asee! au unasemaje?