Ulitaka asiajiriwe? Mbona watu wengi wanaajiriwa kabla ya graduation kwa kutumia matokeo ya miaka mitatu ya nyuma?Mussa Magufuli ni mdogo wake na JP Magufuli ambaye aliuziwa nyumba ya serikali na kaka yake mwezi mmoja baada ya kumaliza chuo kikuu. Pia aliajiriwa na serikali akiwa bado hajahitimu chuo kikuu bila diploma wala certificate. Huyu ndio muadilifu mnayetaka apewe ikulu
Source: Gazeti Rai Novemba 7, 2008