asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,035
Dah na Kabula alimuhonga nini vile!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mussa Magufuli ni mdogo wake na JP Magufuli ambaye aliuziwa nyumba ya serikali na kaka yake mwezi mmoja baada ya kumaliza chuo kikuu. Pia aliajiriwa na serikali akiwa bado hajahitimu chuo kikuu bila diploma wala certificate. Huyu ndio muadilifu mnayetaka apewe ikulu. Wananchi wanalala kwenye nyumba za tembe, polisi wanalala kwenye nyumba za suti. Wao wanagawana keki ya taifa. Huyu ndiye aliyesimamisha mradi wa barabara geita akaupindisha ili upite kijijini kwao. Huyu ndiye aliyeweka taa za barabaranj Chato jirani na baa yake. Mnamtaka ikuli
Source: Gazeti Rai Novemba 7, 2008
Mkuu nipo TZ hihii ila hii sijapata isikia. Taa zipo kijijini???
Kweli ukishangaa ta Mussa....
IT saccos ya Mtei kazini
Vyovyote itakavyokuwa kwanza sense Ikulu, halafu hayo maswali engine tutamuuliza baadaye, kwanza atuondolee CCM madarakani!Kama musa magufuli ni mtz alistaili kuajiriwa na kuuziwa nyumba tutamchagua magufuli aje kutuuzia na sisi tumechoka kupanga kuliko maumvi aliyetuibia na kwenda kujenga ulaya hiyo nyumba wanafaidi wazungu
Magufuli Raisi.. asiyependa na akanyinyonge tangu sasa #HapaKaziTu
dah na kabula alimuhonga nini vile!?
Kuna ile aliyomuuzia girl friend wake ambae hakua mtumishi wa umma, wamezaa nae tu akamuuzia nyumba ya serikali wakati masharti yalitaka wauziwe senior civil servants.
Nyumba ya bilioni 1.5 akamuuzia girl friend wake milioni 22. Nyumba ya bilioni moja akamuuzia rafiki yake Hosea wa Takukuru milioni 52.
Alafu huyo mdogo wake alikua wizara ya maliasili na utalii, mwaka jana magufuri akamhamishia wizara ya ujenzi bila kufuata utaratibu huku magufuri mwenyewe akibeba makalabrasha kwenda utumishi kushughulikia uhamisho na kutisha wafanyakazi wa utumishi wamhamishe mdogo wake kwa nguvu.
Ni wenye iq ya 20 tu ndio wanaweza kumsapoti magufuri, yaani mataahira.
Anayeenda ikulu ni magufuli siyo fisadi Lowasa asubiri mahakama ya mafisadi kwanza imnyooshe akome wizi.Vyovyote itakavyokuwa kwanza sense Ikulu, halafu hayo maswali engine tutamuuliza baadaye, kwanza atuondolee CCM madarakani!
Mussa Magufuli ni mdogo wake na JP Magufuli ambaye aliuziwa nyumba ya serikali na kaka yake mwezi mmoja baada ya kumaliza chuo kikuu. Pia aliajiriwa na serikali akiwa bado hajahitimu chuo kikuu bila diploma wala certificate. Huyu ndio muadilifu mnayetaka apewe ikulu. Wananchi wanalala kwenye nyumba za tembe, polisi wanalala kwenye nyumba za suti. Wao wanagawana keki ya taifa. Huyu ndiye aliyesimamisha mradi wa barabara geita akaupindisha ili upite kijijini kwao. Huyu ndiye aliyeweka taa za barabaranj Chato jirani na baa yake. Mnamtaka ikuli
Source: Gazeti Rai Novemba 7, 2008
Ndio maana Lowassa akasema elimu elimu elimu. Kwa akili zako za kijani unaamini nimeambiwa? Huoni na ushahidi umewekwa na hajawahi kukanusha. Huoni nineweka source. Sasa nimeambiwa na nani? Kweli we mburula Dada yangu. Elimu elinu elimu inatakiwa kwa kweli ili Vilaza kama nyie angalau mfufuke
Mzigo wa Mapadlock
Unadhani matusi kama haya yatakusaidia!?Badala Ya Kuhangaika Kutibu Tatizo SUGU La Kutoa Haja Kubwa Ya Mgombea Urais Wenu ILI Akienda IKULU Ya Kijijini Kwao MONDULI Asiwajazie INZI Wewe Unahangaika Na Rais Ajaye Na Mwenye IKULU Yake Ya Magogoni Dr. John Pombe Joseph Magufuli.