minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
We umehongwa viloba lofa wewe! Magufuli ni msafi hana kashifa yoyote kwa muda alotumikia serikali yetu. sasa nenda kwa lowasa jizi fisadi la kutupwa hatufai watanzania
Watanzania wapi?labda peke yako na mpz wako! Pesa za Escrow, EPA, Buzwagi, mabehewa feki, kivuko feki, mikataba mibovu, sukari, billion kibao malipo hewa wizara ya Ujenzi, kesi ya mali ya samaki kulipwa mabilioni na kule mwanza mfanyabiashara anayelipwa mabadiliko kisa magufuli alikurupuka kuvunja kituo chake cha mafuta. Naona wewe ndiye umehongwa Viroba kisha umeamua kuongea kinyume nyume.