Montero Agrees to US$27 Million Settlement from Tanzania

Montero Agrees to US$27 Million Settlement from Tanzania

Wanatubamiza bila huruma. Hii ni kampuni ya nne ambazo tatu wameshafikia makubaliano na wameanza kulipwa:
1)Winshear Gold Corp - US$ 30 million
2)Ntaka Hill - US$ 90 million
3)Montero - US$ 27 million
4) Aqua Power na Catalysis Capita. Hii imefungu kesi tarehe 9th October kudai US$ 500 million. Ina shareholders Wakenya.
Unaweza kuta baadhi ya viongozi wa serikali au wa CCM wana share kwenye hizo kampuni. Wanatengeneza kesi na wanajilipa wenyewe.
 
Unajua maana ya uwekezaji sababu unaaongea kama umelewa
Ni wapi nimesema muwekezaji anapewa ardhi milele ebu nionyeshe hapo niliposema
Ujasema umeashiria kwa maelezo muwekezaji have all the time in the world kutafuta hela. Sasa ndio mwekezaji gani huyo.
 
Huyo jamaa ni mjinga sana mikataba yote inavikomo anataka kudanganya waziwazi
Like I said, wekeni watu wenye uelewa maswala ya mikataba.

Mimi binafsi nimewaandika vilaza wengi sana academic reports kuhusu hayo mambo.

Sasa kubishana na watu ambao ni clueless wanaokota okota tu arguments, ni kupoteza muda.

Ciao 👋
 
Ujasema umeashiria kwa maelezo muwekezaji have all the time in the world kutafuta hela. Sasa ndio mwekezaji gani huyo.
Ndo maana nikakuambia huji abc za uwekezaji
Waekezaji wote wana-raise fedha kwa njia nyingi wengi wanakopa, wengine wanaraise kwa investors kwenye stock exchange, wengine wanadhaminiwa na sovereignt fund kama na hili hujui unasafari ndefu sana

Unadhani mwekezaji anakuja na cash kazi unayo wanakuja na idea tu wakipata mradi wanaenda kuraise fedha kwao au wanapopajua

Mfano yepi merkezi baada ya kupata mradi hela ya kuanzia mradi alipewa na serikali ya uturuki kama mkopo wa riba nafuu same kwa makampuni mengi ya kichina yanapewa mikopo nafuu na serikali ya china
 
Like I said, wekeni watu wenye uelewa maswala ya mikataba.

Mimi binafsi nimewaandika vilaza wengi sana academic reports kuhusu hayo mambo.

Sasa kubishana na watu ambao ni clueless wanaokota okota tu arguments, ni kupoteza muda.

Ciao 👋
We ni mjinga tu hunachochote unachojua unafanaisha academic exercise na miakataba ya mabilion ya kibiashara ni mbingu na ardhi
 
Kwa hivyo we ulitaka watu waje waombe exploration na mining licence. Wakishapewa vibali wanazuga-zuga kufanya activities hapo ili waonekane wawekezaji ilihali hawana capital ya kuchimba hiyo migodi wala secured buyers,

Mwisho wa siku wanakalia migodi kama mali yao tu, wakati leseni zao ni ku-extract minerał na kuipa serikali chake.

Hiyo kesi ya Lindi sio wewe tu uliisikiliza, watu wengi tu humu. Na shida kubwa ilikuwa wanasheria wa Tanzania kutoelewa breach ya kuvunja mkataba kwa upande wao.

Walipewa wanasheria watoto, kwa sababu kwa wazungu ile kesi hata mwanafunzi wa A level aliesema contract law ashindwi.

Ni kwamba hawana uwezo, hiyo ndio shida. Yaani we ukalia tu mine kama mali yako, moreover hata damages sought not justifiable based on what they had invested nor anticipated losses kwa sababu hawakufanya kitu.

Tanzania ni easy pickings.
Ahh haya
 
Iwapo kosa lilikuwa mikataba mibaya awali, au kuivunja isivyostahili, au kupeleka wanasheria wasio bobevu kwenye kesi - yote hayo wa kuwajibika ni CCM na serikali zake. Hakuna namna ya CCM kujivua lawama hii.
 
Ndo maana nikakuambia huji abc za uwekezaji
Waekezaji wote wana-raise fedha kwa njia nyingi wengi wanakopa, wengine wanaraise kwa investors kwenye stock exchange, wengine wanadhaminiwa na sovereignt fund kama na hili hujui unasafari ndefu sana

Unadhani mwekezaji anakuja na cash kazi unayo wanakuja na idea tu wakipata mradi wanaenda kuraise fedha kwao

Mfano yepi merkezi baada ya kupata mradi hela ya kuanzia mradi alipewa na serikali ya uturuki kama mkopo wa riba nafuu same kwa makampuni mengi ya kichina yanapewa mikopo nafuu na serikali ya china
Yaani nitumie miaka minne ya kusoma finance na mwaka mmoja wa MBA halafu nijibizane na mtu ambae unaona kabisa anajiropokea.

Hujui hata msingi wa mikataba umekazana na mambo ya biashara kwenye kichwa chako unadhani unaweza tu kutoa prospectus ya kupata mtaji kama wewe ni biashara mpya (unajua conditions zake za kusajiliwa kwenye soko la mitaji).

Unadhani huko kwa wazungu na kwenyewe wafanya mambo hovyo-hovyo kama DSE unakurupuka tu na kusajili ‘swala oil’ with ease.

Ni hivi unaongea vitu usivyo na ufahamu navyo.
 
Katika kashfa ya.radar.kutoka Bae.sytems uk. Ofisi ya mwanasheria mkuu chini ya Andrew msaidizi.wake.alitajwa.sana mama Kejo kwamba walikuwa mawinga kwenye ununuzi wa.rada na mkataba.mzima wakipata cha.juu.

Sasa hapa kwenye hizi kesi tunazoshindwa mfululizo kuna.watu.pia wananufaika hofu yangu wawe.ni.watanzaniili.pesa.zao.zibaki.humua
 
Yaani nitumie miaka minne ya kusoma finance na mwaka mmoja wa MBA halafu nijibizane na mtu ambae unaona kabisa anajiropokea.

Hujui hata msingi wa mikataba umekazana na mambo ya biashara kwenye kichwa chako unadhani unaweza tu kutoa prospectus ya kupata mtaji kama wewe ni biashara mpya (unajua conditions zake za kusajiliwa kwenye soko la mitaji).

Unadhani huko kwa wazungu na kwenyewe wafanya mambo hovyo-hovyo kama DSE unakurupuka tu na kusajili ‘swala oil’ with ease.

Ni hivi unaongea vitu usivyo na ufahamu navyo.
Elimu yako ni ya ukariri kama ungekua na akili usinge-support uhuni aliofanya magufuli yaani mtu analiingizia taifa hasara alafu unamsifia sasa hiyo elimu yako ya finance na mba inamsaada gani
 
Elimu yako ni ya ukariri kama ungekua na akili usinge-support uhuni aliofanya magufuli yaani mtu analiingizia taifa hasara alafu unamsifia sasa hiyo elimu yako ya finance na mba inamsaada gani
Sio kila mtu humu jukwaani gullible.

Yaani uonge vitu ambavyo uelewi, utoe baseless accusations halafu umlaumu Magufuli Unafahamu hata justification za madai hadi watu wawe wanalipwa hela nyingi (on what investment merit).

Ukiwasikiliza tu kwenye ile case ya Indiana shida ni wanasheria, sasa hizo lawama żako ungempelekea ‘bi-tozo’ aliotoa timu ya ufundi iliyovunja mikataba na kuweka mapoyoyo ya kwenda kujidhalilisha huko kwenye arbitration.
 
Shida ni magufuli kuvunja mkataba kihuni wala sio wanasheria acha uongo
Mkataba wowote una-namna ya kuuvunja

Mbaya zaidi aliambiwa madhara ya kuvunja mkataba kihuni alafu unakuja kumtetea
 
Tukiwadharau hawa viongozi wetu wanatuona sisi wahaini, lakini tunawadharau kwa haya mambo ya kijinga.

Ardhi yetu, madini mwenyezi Mungu katupa sisi halafu bado tunashitajiwa na hayohayo madini na tunalipa faini huko Ulaya.
Kesho na keshokutwa baada ya kulipa faini anakuja tena mwekezaji Mzungu tunampa eneo kwa mkataba wa kijinga sana.

UTOTO SANA TUNAFANYA AISEE.
Ukisikia laana ndo hii
 
MUGA ndio nini mkuu, kwa uelewa wangu kwa nina rafiki anaitwa Muganyizi kifupi tunamwita Muga.

Otherwise MIGA ni mambo ambayo Lissu alikuwa anajiropokea kuikatisha tamaa serikali.

Ndio maana nimekuuliza umewahi sikia mtu kaenda shitakiwa huko MIGA au kuna kesi yeyote unayoijua ya mikataba ambayo mtu katumia hizo kanuni za MIGA kama citation ya breach.

To cut the story short uwezi kuleta huo ushahidi kwa Lissu alikuwa anaongea ujinga mtupu, hana analolijua kwenye maswala ya mikataba.
Hivi unadharau MIGA? Ungekuwa na akili ungekwenda ku GOOGLE ukajuwa uhusiano wa MIGA, CISD na World Bank. Ungekuwa na akili ungetafuta sababu kwa nini moja ya ndege zetu kwa nini zinashikiliwa huko Netherlands na tuna kesi ngapi zinaendelea CISD kwa kupuuza ushauri wa Lissu kuhusu MIGA
 
Wanatubamiza bila huruma. Hii ni kampuni ya nne ambazo tatu wameshafikia makubaliano na wameanza kulipwa:
1)Winshear Gold Corp - US$ 30 million
2)Ntaka Hill - US$ 90 million
3)Montero - US$ 27 million
4) Aqua Power na Catalysis Capita. Hii imefungu kesi tarehe 9th October kudai US$ 500 million. Ina shareholders Wakenya.
Mzilankende huyo,ndiyo shida ya kuweka mtu wa hovyo madarakani
 
TORONTO, Nov. 20, 2024 (GLOBE NEWSWIRE) -- Montero Mining and Exploration Ltd. (TSX-V: MON) (“Montero” or the “Company”) is pleased to report a US$27,000,000 settlement has been reached with the United Republic of Tanzania (“Tanzania”) in the dispute arising out of the expropriation of Montero’s Wigu Hill rare earth element project (“Wigu Hill”).

The settlement sum of US$27,000,000 (approximately CDN $38,000,000) due to Montero is payable in just over 3 months, with payments scheduled as follows:​

  • US$12,000,000– payable by 20 November 2024 –PAYMENT RECEIVED
  • US$8,000,000– on or before 31 January 2025
  • US$7,000,000– on or before 28 February 2025
The settlement sum represents ~39% of the US$70,000,000 initially claimed by Montero. This settlement obviates the need for a costly and time-consuming hearing, the risk of an adverse award, enforcement efforts, and finally concludes a near 7-year dispute.

Dr Tony Harwood, President and CEO of Montero commented: “I am pleased Montero was able to reach an amicable settlement with the government of Tanzania to bring a mutually beneficial end to this dispute. This resolution allows both parties to move forward, and we wish Tanzania every success in attracting new mining investment. I would like to thank our shareholders, board, management, and our legal and technical teams, for their valuable contribution to this outcome.”​

ICSID Arbitration

Montero and Tanzania have sent a joint request to the arbitral tribunal to suspend the ICSID arbitration proceedings, as the first payment has been received by Montero. Subsequent payments are to be made by the specified dates provided. Provided the final payment has been received by Montero, the parties will request the arbitral tribunal discontinue the ICSID arbitration altogether.​

Distribution of Funds

Montero and its litigation funding partner, Omni Bridgeway (Canada) will receive a distribution of the first payment. The second instalment will be distributed to Omni Bridgeway (Canada) and to Montero, and will also cover Montero's operational needs and legal expenses, including payments to Boies Schiller Flexner UK LLP and Jeantet AARPI. Montero will entirely retain the final instalment.

Montero is planning a return of capital to shareholders where no amount has yet been determined and is subject to accounting review and board approval. In addition, Montero will retain funds to cover legal, taxation, and administrative expenses, including potential costs for arbitral proceedings, or enforcement actions if the second or third instalments are delayed or unpaid. The net amount of the award after repayment to the funder and legal expenses cannot be estimated with certainty and no assurances can be made. Further announcements will be made in due course.

Acknowledgments

The Board would like to especially thank Dr. Tony Harwood for reaching this settlement. Without his perseverance and significant efforts to not only develop Wigu Hill initially, but to then safeguard and recover Montero’s investment speaks to his dedication and commitment to the Company and shareholders. Special thanks also to directors, the balance of management, our loyal shareholders, legal advisers and accounting team for their steadfast support and dedication throughout nearly seven years of efforts to secure compensation for the Company’s investment in the Wigu Hill Rare Earth Project. Montero’s legal team includes Timothy Foden of Boies Schiller Flexner (UK) LLP and Martin Tavaut of Jeantet AARPI. Quantum and technical expertise provided by Dr. Neal Rigby of SRK Consulting (USA) Inc. with full dispute funding secured from Omni Bridgeway, a leading global dispute funder. This unwavering commitment enabled the Board to achieve a favourable outcome for the benefit of shareholders.

Disclaimer

The conclusion of the ICSID arbitration and payment of the remaining instalments is conditional on Tanzania’s compliance with the settlement agreement. The agreement does not provide for any security for the benefit of Montero in case Tanzania would not pay any instalment, in which case Montero can either resume the ICSID arbitration or seek enforcement of the settlement agreement.

About Montero

Montero has agreed to a US$27,000,000 settlement amount to end its dispute with the United Republic of Tanzania for the expropriation of the Wigu Hill rare earth element project. Montero will continue to seek a joint venture partner to advance its Avispa copper-molybdenum project in Chile. Montero’s board of directors and management have an impressive track record of successfully discovering and advancing precious metal and copper projects. Montero trades on the TSX Venture Exchange under the symbol MON and has 50,122,975 shares outstanding.​

SOURCE: Montero Agrees to US$27 Million Settlement from Tanzania
Ukiona wazungu wamekubali yaishe bila kulipa million $27 ujuwa walisha chuma billion$27.
 
Si ndio maana mnashindwa kesi kila siku, umewahi kuona kesi ya dispute imepelekwa huko MIGA toka uzaliwe au hata umewai sikia ‘claimant’ anataja neno MIGA kama source of breach.

Akili za Lissu kuna wasaa zinamtosha yeye na wafuasi huko CDM.
Iwe MIGA au isiwe MIGA haibadilishi cho chote, tutaendelea kuchapwa mboko tu na hao wazungu. Kichekesho gani hiki?
 
Back
Top Bottom