Moral Lesson kutoka kwa Harmonize

Moral Lesson kutoka kwa Harmonize

Tafuteni pesa ili mwanamke arudi jamanii bila ivo harudi hata iweje pesa pesa is the remedy
 
tafuteni pesaa ili mwanamke harudi jamanii bila ivo harudi hata iweje pesa pesa is the remedy
🤣🤣🤣 Tutafute lesa tuwagegede jamani hawa warembo. Ukiwa na hela ata ukimcheat mke wakwe watasema mwanaume ndio alivyonwee msamehe tuu
 
Kama Kajala karudi kwa Hormonize ipo siku kipenzi changu Lauth fred atarudi tena kwangu tuuwashe moto wa mahabati km miaka ileeee.
 
Alifanya vile kibiashara jina lake liendelee kua midomoni mwa watu ili aendelee kupata deals.

Na Kajala alivoona hata yeye atanufaika basi akakubali na watu kama wewe mleta uzi ndio walengwa na kawapata kweli.
You are very correct mkuu
 
Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa. Licha ya Harmonize kupitia changamoto nyingi hakika amefanikiwa kumrudisha Kajala kwenye himaya yake tena. Licha ya kukataliwa na kublokiwa kwenye mitandao ya kijamii hakika Harmonize aliendelea kumlilia Kajala Ili aweze kurudiana naye.
Kwahiyo mkuu wewe huyo hamonaizi ni lol modo wako!? No wonder mliambiwa ile movie ni ya 7B mkakubali. Tuna kazi sana ya kufuta ujinga. I assure you they wont last a year.
 
Unaijua kick au unaisikia?
Hamna ndoa wala kubadili dini.
Konde siyo lofa

One of the laws of power is’ court attention at all costs’

All publicity is good publicity.

So harmonize anaitumia hii law to the maximum. Ni moja ya mbinu alizoziiba wcb.
Waambie mziki wabongo ili uendelee kusikika lazma utafute attention kama izi
 
Niwe mkwel mi kuhonga mwanamke sipendii af siwezi...yan nahis kama nitajitia mikosi hiv!!!

Ila nashangaa nawakunja haswaaa..at zero cost yani..
 
Back
Top Bottom