Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Nimecheka😂😂😂
[emoji4][emoji4]View attachment 2274388
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji4][emoji4]View attachment 2274388
Kwema kwema mrembo😂😂😂😂mzabzab
Kwema kabisaaaKwema kwema mrembo
🤣🤣🤣 Tutafute lesa tuwagegede jamani hawa warembo. Ukiwa na hela ata ukimcheat mke wakwe watasema mwanaume ndio alivyonwee msamehe tuutafuteni pesaa ili mwanamke harudi jamanii bila ivo harudi hata iweje pesa pesa is the remedy
You are very correct mkuuAlifanya vile kibiashara jina lake liendelee kua midomoni mwa watu ili aendelee kupata deals.
Na Kajala alivoona hata yeye atanufaika basi akakubali na watu kama wewe mleta uzi ndio walengwa na kawapata kweli.
Kwahiyo mkuu wewe huyo hamonaizi ni lol modo wako!? No wonder mliambiwa ile movie ni ya 7B mkakubali. Tuna kazi sana ya kufuta ujinga. I assure you they wont last a year.Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa. Licha ya Harmonize kupitia changamoto nyingi hakika amefanikiwa kumrudisha Kajala kwenye himaya yake tena. Licha ya kukataliwa na kublokiwa kwenye mitandao ya kijamii hakika Harmonize aliendelea kumlilia Kajala Ili aweze kurudiana naye.
Waambie mziki wabongo ili uendelee kusikika lazma utafute attention kama iziUnaijua kick au unaisikia?
Hamna ndoa wala kubadili dini.
Konde siyo lofa
One of the laws of power is’ court attention at all costs’
All publicity is good publicity.
So harmonize anaitumia hii law to the maximum. Ni moja ya mbinu alizoziiba wcb.
Muda utaongea.😂😂 Hapo umechemka mkuu