More pictures of Two Rivers Mall..largest mall in SS Africa outside S.A

That video shows most of girls in Nairobi are very ugly, yaani video nzima sijaona kabisa aisee. Mnaishije huko?
 
umewahi fika Dubai? Hiyo
Solitary mall ndio ufananishe na Dubai??

By the way, hii two rivers iko bomba sana, ni babkubwa, according to the Video.
Nimecheki hiyo video, nyie jamaa mnaongea kingereza halafu ni washamba kinoma.
huyooooo....tihihihi.njoo ujionee usiangalie tu kwa video
 
umewahi fika Dubai? Hiyo
Solitary mall ndio ufananishe na Dubai??

By the way, hii two rivers iko bomba sana, ni babkubwa, according to the Video.
Nimecheki hiyo video, nyie jamaa mnaongea kingereza halafu ni washamba kinoma.

Na nyie mnatwang kiswahili mnakaa washamba wa mjini
 
umewahi fika Dubai? Hiyo
Solitary mall ndio ufananishe na Dubai??

By the way, hii two rivers iko bomba sana, ni babkubwa, according to the Video.
Nimecheki hiyo video, nyie jamaa mnaongea kingereza halafu ni washamba kinoma.

we ni mbwa mwitu kiasi kipi? wajua yepi wewe? eeeh,kwanza wewe ndiwe Limbukeni mumu humu JF.
Nalitembea mie dunia nzima si Dubai,si NYC,si miami niseme mji upi niache nini
Nawaambieni kujeni Nairobi jiji la majiji,jiji la ulimbwende wa kisasa,jiji la wazungu,jiji lililotakasika na wanyama,jiji la utukufu mkubwa Africa nzima na kila uchao lawatia wale wadanganyika hofu kubwa manake lajengwa usiku na mchana,si magorofa marefu marefu kupindukia,si barabara za kuvutia,si malls kubwakubwa,si miundo mbinu anuwai
Mate yatazidi kuwadondoka na bila shaka majungu mnayo kwa kuyaona haya yafanyikayo Nairobi,jiji la majiji.....
Ukwasi wa Nairobi umo ndani ya hizi Malls na ndio vigezo tusemavyo kila siku Dar iko still nyumaaaaaa kabissaaaa kulifikia jiji la majiji la Nairobi.Yaani compare Nairobi na joburg sio kule kule Dar Madongoporomoka
 
we ni mbwa mwitu kiasi kipi? wajua yepi wewe? eeeh,kwanza wewe ndiwe Limbukeni mumu humu JF.
Nalitembea mie dunia nzima si Dubai,si NYC,si miami niseme mji upi niache nini
Nawaambieni kujeni Nairobi jiji la majiji,jiji la ulimbwende wa kisasa,jiji la wazungu,jiji lililotakasika na wanyama,jiji la utukufu mkubwa Africa nzima na kila uchao lawatia wale wadanganyika hofu kubwa manake lajengwa usiku na mchana,si magorofa marefu marefu kupindukia,si barabara za kuvutia,si malls kubwakubwa,si miundo mbinu anuwai
Mate yatazidi kuwadondoka na bila shaka majungu mnayo kwa kuyaona haya yafanyikayo Nairobi,jiji la majiji.....
Jiji la wazungu, [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Anyway, napajua nairobi, you don't have to Brag that Much, nairobi is just a 3.4mn residents town, with planned real estate, with thika highway and southern bypass, and biggest airport in East Africa. And biggest slum in the world, (with 2.5mn residents)

Cbd ya dar = cbd of nairobi and Mombasa combined (I know it hurts)

Nimeacha kitu?
 
Hohoho,hujui hata what is called NAIROBI METROPOLITAN
Do you really know what is Nairobi metropolis?
Google is your friend and i have given you assignment and after the assignment you will know that indeed the metropolis is far much massive and high end than your Dar Madongoporomokas......
 
Hahahaha..
Una mihemko sana wewe.
 
Vipi hao wanawake boss, wanarithi sura kwa babu zao only?

Hatupo kwenye biashara ya umalaya na madawa ya kulevya huko Kenya hiyo ni fani yenu Tanzania, wee nenda Kenya ukafanye manunuzi na shughuli zingine za kueleweka,ukitaka malaya(wanawake), tafuta hapo bongo,wapo tena wengi sana maanake ikiwa una mke na wajiheshimu kamwe hutowaza kutamani mwanamke asiye wa kwako,soma kitabu chako kitakatifu ,chakataza uzinifu,kutazama tu tayari ushazini/dhambi kwa muumba.
By the way, kiwango cha maambukizi ya ukimwi upoje huko?....tuombe TRUMP hasikate madawa ya bure ya virusi mnayochotewa bure kwa ushuru itokanayo na jasho ya migongo ya wafanyikazi wa ughaibuni huku mnashinda mitandaoni na mitaani huko matopeni mkifanya mambo ya ajabu ajabu.
Ova!
 
Sasa msisahau mabasha zenu al shabab,muwe makini mno na hao waume zenu.
 
Hohoho
nalijua maneno yako ,tumo mbioni sisi ndio haoooooo
Namba mwaisomea kileleni mlima kilimanjaro mlioiba na ulongolongo wenu kutoka kenya
I know, mwizi akiibiwa huumia sana,
In fact mount Kilimanjaro was Kenyan. But some figisu made it ours..go get some antispasmodic.
 
Hatuko kwenye biashara ya umalaya na madawa Kenya hiyo ni fani yenu Tanzania, wee nenda Kenya ukafanye manunuzi na shughuli zingine za kueleweka,
Ova!
Ni kweli, maana nyie wadada wa kikenya na pua zenu kubwa kama ngumi mkifanya hiyo biashara mtafanya watu tuache zinaa.. Probably this can be helpful
 
Hukawii?, inamaana huchukui hata muda wako angalau kufikiria,ha!
Tazama bandiko langu hapo nilikua bado nalisahihisha weye ushajibu tayari tooh!, hahaha!
We kweli ni kituko kwenye kadamnasi.
 
Nipo online naangalia hii video ya two rivers, majengo bomba ila wachumba hamna kabisa. Inaonekana mnapiga sana puli huko.
 
Ni kweli, maana nyie wadada wa kikenya na pua zenu kubwa kama ngumi mkifanya hiyo biashara mtafanya watu tuache zinaa.. Probably this can be helpful

Weye dada wa kibantu,unamaanisha wasomali na wahabeshi wa Kenya wana pua nzito nzito kushinda za wazaramo na wanyamwezi sijui wanyakusya wa tanganyika?
 
Back
Top Bottom