More than 100 good reasons why Jf/MMU is a wrong place for you to search a partner

More than 100 good reasons why Jf/MMU is a wrong place for you to search a partner

na wale wanaokutana nje ya mitandao, wakatongozana then wakaona, halafu ndoa inadumu hardly a month, tuseme nini? you can get the wrong or right person from any corner. hakuna formula ya kumpata mwenza ambayo kwayo lazima tuifuate. I thought your avatar hints your philosophy!

for instance my avator defines me....usipoteze muda
 
3. Nasisitiza ya kwamba hakuna ndoa timamu inayoweza kutokana na MMU, labda kwa minajili ya kuweka rekodi ya kuoa/kuolewa au kuondoa gundu. Vinginevyo leteni ushahidi. Ni busara sana kukamata mtu barabarani na kumwambia kuanzia leo unakuwa mme/mke wangu kuliko kununua partner wako online! Amekuwa software?

CC: lara 1 Sista watu8 sister mwekundu mzabzab

Siku hizi niki impressed na busara zako. thumb up
 
Last edited by a moderator:
naamini unafanya utafiti tu wewe ili ujiridhishe kuwa inawezekana kupata mwenza jf. kuna sehemu umesema hujawahi na wala huna mpango wa kumtongoza yeyote humu jf.
then what is eating you? are your private parts invaded by scorpions?

Yaani, nimeamka sasa hivi nimeangalia nje, nimeaona mabinti kama 6 wazuri wanavutia, sasa unataka nije kutongoza Jf ili iweje? Kwanza ni kukiuka haki za binadamu kuwaacha mabinti ninaowaona mtaani halafu nikimbilie Jf!

Hata kama kuna msisitizo wa kuembrace technology, kha, sio kwenye kutafuta mwenza jamani!
 
na wale wanaokutana nje ya mitandao, wakatongozana then wakaona, halafu ndoa inadumu hardly a month, tuseme nini? you can get the wrong or right person from any corner. hakuna formula ya kumpata mwenza ambayo kwayo lazima tuifuate. I thought your avatar hints your philosophy!

Mahusiano yanavunjika kwa sababu nyingi, zingine ni complicated, lakini ndoa ya Jf is more prone to breakage due to its nature.

Yaani bora nikasimame mbele ya kundi la watu nikiwa na loud speaker, kama kanisani au siku ya sherehe za uhuru kwamba natafuta mke kuliko kutafuta humu. Utakutana na Yahya+ ndipo utie akili.
 
Hapo sio kweli we Simplicity!!! wangu nimeopoa humu humu,,,,,,,,, Na mambo yanaenda vzr sana labda ww tu una bahati mbaya..

Something must be seriously wrong with him

hapa MMU ni kama mtaani tu with real people....yeye anazungumzia fake IDs wakati wenye nazo ni watu timamu?

Sredi zingine tunatafutiana ban tu

CC amu neggirl Ennie
 
Last edited by a moderator:
Lol!!!!!! even if u hve warned me i wont listen,,,,,,,,, kwa mahaba anayonipa oooooh!!!!!!! mpka najuta kwa nini tumechelewa kujuana.

Wapo wengi wenye mahaba zaidi yake. Umekutana na mmoja tu, fanya comparison.

Na huu uwongo wenu wa kumdanganya mtu mahaba unayonipa sijawahi kupata kwa mwanaume mwingine, hali umemwambia wewe hujawahi kuwa na mwanamke na bikira yako imetoka kwa sababu ya kuendesha baiskeli, nadhani source ni MMU.
 
Mahusiano yanavunjika kwa sababu nyingi, zingine ni complicated, lakini ndoa ya Jf is more prone to breakage due to its nature.

Yaani bora nikasimame mbele ya kundi la watu nikiwa na loud speaker, kama kanisani au siku ya sherehe za uhuru kwamba natafuta mke kuliko kutafuta humu. Utakutana na Yahya+ ndipo utie akili.

Dogo umefikiria vizuri lakini?

Hao walioko makanisani na kwenye sherehe za uhuru ndio hao hao walioko huku JF kwa ID nyingine. Unadhani ukimkuta snowhite kanisani utamjua? au ukimkuta amu yuko zake kitaa au Ennie akiwa kliniki utamjua?

unataka mifano ya successful marriage za wana JF au umejitia upofu tu? CC Preta
 
Last edited by a moderator:
We Kaizer acha kulewa asubuhi, mpaka uje Jf kumtafuta mtu usiyemfahamu, bila shaka utakuwa na uchizi wa kutosha.
 
Last edited by a moderator:
Dogo umefikiria vizuri lakini?

Hao walioko makanisani na kwenye sherehe za uhuru ndio hao hao walioko huku JF kwa ID nyingine. Unadhani ukimkuta snowhite kanisani utamjua? au ukimkuta amu yuko zake kitaa au Ennie akiwa kliniki utamjua?

unataka mifano ya successful marriage za wana JF au umejitia upofu tu? CC Preta
Halafu wewe!!! Ina maana mimi ndio nafanana na kwenda clinic?
Muone kwanza!
 
Dogo umefikiria vizuri lakini?

Hao walioko makanisani na kwenye sherehe za uhuru ndio hao hao walioko huku JF kwa ID nyingine. Unadhani ukimkuta snowhite kanisani utamjua? au ukimkuta amu yuko zake kitaa au Ennie akiwa kliniki utamjua?

unataka mifano ya successful marriage za wana JF au umejitia upofu tu? CC Preta

Kwanza mwanaume gani ambaye unashindwa kukabili wanawake physically na kuwatongoza, badala yake uje kufanya mtandaoni huku ukiwa umejificha? Hata huyo mke utakayempata atajua wewe ni kimeo mpaka basi. Issue hapa mkuu ni namna gani na wapi ndoa inaanzia. Mkizingatia haya ninayoyasema mtatupunguzia sana tatizo la ndoa kuvunjika na majanga mengine yanayoambatana nayo.
 
Something must be seriously wrong with him

hapa MMU ni kama mtaani tu with real people....yeye anazungumzia fake IDs wakati wenye nazo ni watu timamu?

Sredi zingine tunatafutiana ban tu

CC amu neggirl Ennie
Relax Kaizer,usitumie nguvu nyingi hivyo kumuelewesha. Ukweli anaujua huyo anabisha kwa sababu ameamua kuwa mbishi tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom