Moreen, dawa yako iko jikoni inachemka

Watu kama hao tunawawekaga kwenye ignore list.Alafu unaanza kutafuta mwingne kmya kmya
 
Umri wangu Ni 24-28
Natamani Sana kuanzisha familia


Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe bado haujakomaa maana yake kama una miaka 24 mabinti ambao unadate navyo ni wa miaka 22 hadi 18 hapo hakuna ndoa ni kuchezeana picha za kihindi tu.
Ukifika miaka 28 tafuta binti mtulivu na aliyepevuka akili ya kiutuuzima mwenye miaka angalau 25.
Au kama utampata girlfriend ambaye utakuwa naye kwa kipindi kirefu huku mkisomana tabia lakini usigharamie sana maana ukiachwa utakuwa unakuja kulalamika hapa
 
No 24 nimevuka mkuu
Ila nimetoa range ya umri wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…